Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,749
Nyumba nzuri kwa bei iliopoa kidogo ni mbezi ya kimara..nyumba nyingi mpya mpya
Kama unataka kwenda kuishi na wajivuni,vijana wapenda starehe,na nyumba nzuri nzuri nenda tabata kinyerezi,,,