Jay master
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 716
- 805
Mkuu Hata mwenge kuna maeneo unapata nyumba ya bei pouwa,kama unataka uwe karibu na town,, lakini hata bunju au tegeta ni gari moja tu kwenda posta kama ni public transportPopote mkuu, ila pasiwe mbali SNA na mjini nikimaanisha Posta