Nahamia Dar, nijuzeni gharama za maisha

Nahamia Dar, nijuzeni gharama za maisha

Haitakidhi mahitaji ya kuishi familia. Ziko rafiki kwa kuishi mtu mmoja mmoja mkuu. Ningekuwa na Roho nisingeweka wazi hapa mkuu! Ila nashukuru kwa kunipachika "Roho mbaya". Ubarikiwe.


Uko mbezi ipi? naweza kuipata
 
Huyo MR.unayemfuata si ndio jukumu lake hili? Wanawake wa zama hizi kwa nini tunajibebesha majukumu mazito? Ama kweli siku hizi tunazaa kwa uchungu na tunatafuta kwa jasho kwa upumbavu wetu.
Yuko busiest[emoji23]
 
Inategemea unataka kuishi pande ipi.
Mfano Oystabay lazima uwe fiti. Kupanga nyumba ni mwendo wa USD, EUR
Ukitaka kuishi sehemu nyingine uta cope kutokana na upepo
 
Back
Top Bottom