Wana Jamvi nadhani ule umakini wa chama pamoja na wagombea wake utaanza kuonekana, viongozi wengi wa kuchaguliwa na wananchi kuanzia wenyeviti wa mitaa mpaka wabunge wamekuwa "irresponsible" na majukumu yao ili hali wakisubiri neema ya vyama vyao kuwateua tena kila baada ya miaka mitano. Asipotokea MWANANCHI makini kutetea wananchi wa jimbo la Arusha Mjini,nami nitatangaza rasmi kuwa mgombea binafsi wa jimbo hilo ambalo wananchi wake wanahitaji mabadiliko makubwa.