Nafurahia analogy ya kuitwa kondomu

Nafurahia analogy ya kuitwa kondomu

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
382
Reaction score
506
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.

Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.

sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.

na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.

sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe
 
Tafuta kazi nyingine yakufanya kwani hujui wewe ni condom iliyotumika tayari na haiwezi kurudiwa tena. Njoo hata nikuajiri kuna kazi kwenye compuny yangu .
 
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu
wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo
matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa
waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua
hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.

Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia
magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake
hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku
hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na
hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha
wanakitumia.

sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa
kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji
kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa
kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama
cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea
Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV,
(UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila
kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake
ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.

na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga
zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.

sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya?
na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza
ngono?; wenye akili na waelewe

Mkuu naomba nikuulize,
Je! umeshafikiria juu ya unayoyafanya sasa na mustakabali wako wa baadae?
 
Kuna uhusiano wa moja kwa moja wa muonekano na ung'aavu wa sura ya mtu na afya ya ubongo!
I suggest find something else to do!

Mkuu mimi naumia sana kuona vijana kuwekeza muda wao wote kwenye siasa badala ya kuwekeza kwenye utafutaji.Matokeo yake ndo haya sasa hata uwe CCM,CDM,NCCR,CUF,ACT mwishowe huwa hivyo hivyo.Vijana tushiriki kwenye siasa kama wananchi wengine na si kukutoa kimaisha.
 
Sambai, unamaanisha mustakabali katika mantiki ipi? jieleze kidogo nipate cha kukujibu.
 
Hey Ludo,

Umesahau kitu kimoja muhimu sana katika analogy yako.

Matumizi ya condom yamelengwa haswa kwa watu wawili ambao wapo kama mke na mume katika kupanga uzazi.

Manufaa mengine uliyotaja ni kweli lakini ni katika kusaidia watu "Ma.la.ya" ili wasilete madhara katika familia zao au jamii kwa ujumla.

Sasa wewe katika hizo tafsiri mbili upo kundi gani?

Hata mbolea ya chumvi chumvi inaweza kurutubisha mimea au kutengeneza b.om.u la kuua maelfu.

Kwa hiyo usitukoge hapa ukadhani kila mtu ni mjinga.

Watch out!
 
Wewe condom,sikia.
Condom ni kifaa ambacho kinaweza kupandikizwa virus hatari kama HIV ili kuangamiza race flani.
Hivyo wewe ni condom yenye virus vya kukiangamiza chama unachodai chako,bahati mbaya kwako ni kuwa aliyekuwa akutumie kashtuka kuwa umejaa virus na ndio maana kakutupilia mbali.
Wewe condom hufai hata kutumiwa!
 
Kwa maana nyingine, wewe ulikuwa ukitumiwa na Lwakatare, akikugharamia kila kitu kama Condom, hivyo ni sahihi wewe kuitwa condom!!!

Lwakatare alipokutumia akamaliza akakutupa kama condom, hivyo ni sahihi wewe kuitwa condom!!

Ukatumiwa na Mwigulu na CCM kwa ujumla kama condom, hivyo ni sahihi wewe kuitwa condom!!!

Hata hivyo, condom nayo ingekuwa kiumbe hai ingelalamika kwamba 'mbona mimi mwanitumia n a kunitupa, wakati RV zakaa nanyi milele'!? (Kama wewe unavyolalamika hapa!!) hivyo ni sahihi wewe kuitwa condom!! NA KWELI WEWE NI CON***!!

Ludovick, unaakili kweli wewe ? Inafanya kazi kweli? Unafrahia kuitwa condom?

Samahani mods kayataka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom