chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
Kuitwa condomu,inabidi ujitathimini upya!
Kwani wewe umewahi kutumia Condom ngapi katika maisha yako na unazikummbuka na kuzienzi ngapi katika hizo? Baada ya kuzitumia ulizihifadhi kwa kuzienzi? Baba yako akifa unamuenzi kwa kujengea kaburi lake! Condom unazienzi vipi?Ukisemacho ni kweli, lakini inakuwa imeokoa maisha ya mtu... And it all depend on where is your refference point...
1. Kama unarefer thamani ya maisha ya mtu, utaona maana ya kondomu.. Ni kama unapokuwa na baba mzazi aliyekusomesha na kukupa huduma zote stahiki duniani kama mtoto.. Akizikwa, thamani yake haiishi kaburini... utaendelea kumkumbuka hata kama phisically hayupo nawe, lakini spiritually upo naye maisha yote
2. kama reference point ni kule ulikoitupa kondomu, basi maana yake umesahahu thamani ya kondomu hiyo kwenye maisha yako... Ni sawa na kudharau baba yako, simply because kafa na kwa wakati huo yupo kaburini
Ndugu Joseph Ludovick, nimeipenda falsafa uliyoitumia... Ni wenye kusoma between lines ndo wataelewa ulichokiandika.. Na sababu kubwa ni uchama.. and not the content
Ukisemacho ni kweli, lakini inakuwa imeokoa maisha ya mtu... And it all depend on where is your refference point...
1. Kama unarefer thamani ya maisha ya mtu, utaona maana ya kondomu.. Ni kama unapokuwa na baba mzazi aliyekusomesha na kukupa huduma zote stahiki duniani kama mtoto.. Akizikwa, thamani yake haiishi kaburini... utaendelea kumkumbuka hata kama phisically hayupo nawe, lakini spiritually upo naye maisha yote
2. kama reference point ni kule ulikoitupa kondomu, basi maana yake umesahahu thamani ya kondomu hiyo kwenye maisha yako... Ni sawa na kudharau baba yako, simply because kafa na kwa wakati huo yupo kaburini
Ndugu Joseph Ludovick, nimeipenda falsafa uliyoitumia... Ni wenye kusoma between lines ndo wataelewa ulichokiandika.. Na sababu kubwa ni uchama.. and not the content
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.
Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.
sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.
na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.
sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe
well said. thanks. wenye akili tumekuelewa japokuwa wanywa viroba hawataelewa kitu hapa.
Mkuu sina kitufe cha LIKE!!
Hizi condom zinaandika bila kufikiria!! Zinatanguliza njaa na tumbo mbele bila kushirikisha ubongo!!
Eti nafrahia kuitwa condom!! Mkuu hebu tafakari kwa kina kaulki hii alafu ujiulize angekewa nduguyo anasema haya mbele yako!!!
funza yake mavi. wewe=funza.Sawa jamaayake na KONDOMU farijianeni.
Hapo umenena! Kwamba UKAWA ni ARV inayopambana na ukimwi wa CCM na vibaraka wake!ACT ni mimba zisitarajiwa.
UKAWA ni ARV..
Werevu au vibaraka?nilikuwa sijui kama huyu dogo yupo vizuri hivi upstairs.
na nimepata jibu kwa nini kafukuzwa kule chadema. kule watu wenye akili zao hawatakiwi. inayotakiwa kule ni misukule tu kama akina mungi, nicholas, saa9, na mitaahira mingine kibao. weerevu kama akina Zitto, Dr. Kitila, Mwigamba na wengineo humo hawatakiwi.
well said. thanks. wenye akili tumekuelewa japokuwa wanywa viroba hawataelewa kitu hapa.
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" ...wenye akili na waelewe
funza yake mavi. wewe=funza.
Werevu au vibaraka?