funza yake mavi. wewe=funza.
wewe ni shabiki wa chama kipi kweli? Kwa hiyo upo hapa kumshabikia kibaraka wenu? Mwambieni tunataka part 2 ya ile muvi yake fake ya ugaidi.
funza yake mavi. wewe=funza.
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.
Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.
sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.
na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.
sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe

mkulu ni kweli, kwa mwenye akili lazima anatambua umuhimu wa kondom. mimi pia ni mmoja wapo wa wanao tambua umuhi wa hiyo zana, hasa inapo tumika kama kinga dhidi ya magonjwa ya zinaa, kondomu ikitumika vizuri ino uwezo wa kumlinda mtumiaji napo amua kuitumia na tendo likamalizika aliye ingiliwa anatakiwa amvue aliye mwingilia hii ni kwa ajili ya kuepuka cross infection hii inaonesha pia kuwa condom ikisha tumiwa hugeuka na kuwa hatari
kwani inakuwa imebeba maambukizi na inaweza pia kumuambukiza yeyote yule atakaye gusana nayo!. kondomu iliyo tumiwa tunahimizwa kuichoma kabisa kutokana na uhatari wake si kwa binadamu tu bali hata kwa mazingira kwani kondom ni taka ngumu hivyo si rafiki wa mazingira!![]()
Kwakweli kama wanakufananisha na kondomu inayo subili kutumika au iliyopo katika matumizi kwa wakati huo basi watakuwa hawajui umuhimu wa hiyo zana na watakuwa wazembe, lakini pia kama wanakufananisha na kondomu iliyo tumika, kimsingi wanakuona wewe ni wa hatari kiasi cha kuondoa afya zao njema na kwa mazingira pia wewe ni hatari!. (picha ni kwa hisani ya condom wikipedia)![]()
ACT ni mimba zisitarajiwa.
UKAWA ni ARV..
Wee mtoto mdogo hivo condom ya nini? unataka kuchezea kama puto?haya mr CONDOM
lov ya
nilikuwa sijui kama huyu dogo yupo vizuri hivi upstairs.
na nimepata jibu kwa nini kafukuzwa kule chadema. kule watu wenye akili zao hawatakiwi. inayotakiwa kule ni misukule tu kama akina mungi, nicholas, saa9, na mitaahira mingine kibao. weerevu kama akina Zitto, Dr. Kitila, Mwigamba na wengineo humo hawatakiwi.
Wee mtoto mdogo hivo condom ya nini? unataka kuchezea kama puto?
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.
Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.
sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.
na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.
sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.
Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.
sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.
na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.
sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe
Tafuta kazi nyingine yakufanya kwani hujui wewe ni condom iliyotumika tayari na haiwezi kurudiwa tena. Njoo hata nikuajiri kuna kazi kwenye compuny yangu .