Nafurahia analogy ya kuitwa kondomu

Nafurahia analogy ya kuitwa kondomu

Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.

Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.

sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.

na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.

sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe

Ebu nikumbushe ilikuwaje ukamteka Kibanda na kumjerui halafu ukavua nguo zote ukabaki na PICHU na kujiiibia vitu vyote na kwenda Polisi? na vipi zile nguo zilizokuwa na damu ulizificha wapi?
 
Kama UKAWA ni ARV basi nchi nzima lazima ipate ahueni ya afya..

Mkuu sina kitufe cha LIKE!!

Hizi condom zinaandika bila kufikiria!! Zinatanguliza njaa na tumbo mbele bila kushirikisha ubongo!!

Eti nafrahia kuitwa condom!! Mkuu hebu tafakari kwa kina kaulki hii alafu ujiulize angekewa nduguyo anasema haya mbele yako!!!
 
Labda mwenzutu hajui Kondomu na ARV zinaokoa maisha haya ya ndugu zake, ya nini kuzikandya? Mpako hapo dawa ya ukimwi itako patikana, condom itaendelea kuwa ndio kinga pekee (hata kama inahifadhi maji ya uzima) na ARV zitabaki kuwa ndio pekee za kurefusha maisha...

Kama ndugu zetu wengine wanazikandya na kuziona si mali kitu basi ipo siku yaja na kuona majuto ni mjukuu... Ni heri ya kondomu na ARV kuliko mapenzi zembe zembe na kukwaa ngoma....

Ukawa -ARV ya kurefusha maisha Tanzania...akiwemo mwandishi wa uzi huu na nduguze...
Jamanai hebu tuache utani na matusi yasio na maana kwa kinga na dawa zetu...
 
kondom inaheshimika ikiwa kwenye pakiti ,lkn ukishaifungua na kuitumia hiyo hairuhusiwi kirudishwa dukani tena,hata jinsi ya kuishika ni utata mtupu,used condom haifai mbele za watu
 
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.

Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.

sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.

na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.

sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe

Ludovic nafikiri maelezo yako yanaeleweka kutokana na ulichokuwa unataka kukisema! Kumbuka arguments zako zilikuwa na nia ya kujustify mchango wako kwa CHADEMA. Naam, kama kweli uliyoyafanya kwa chama chako na hasa kwa rafiki yako bwana Lwakatare ni ya kweli, basi hapa hakuna kitu kabisa. Na hilo jina la kuitwa kuwa wewe ni C basi ni sawa kabisa. Kumbuka hapa kitu c kina faida wakati kinatumika au wakati kiko katika hali nzuri tayari kwa kutumika. Na baad ya hapo hiyo C haina maana tena. Na hapa UKWELI NI KWAMBA WALIOKUTUMIA NDIO WATU WAKUWALAUMU NA WALA SI CHADEMA. WALIOKUTUMIA HAO UNAOWAJUA ( WAMEKUFANYA UWE MFANO WA C na si vinginevyo)!
 
Wewe ni kondomu tu hata ujitetee vipi.Hutumiwa na kutupwa msalani.
Ukisemacho ni kweli, lakini inakuwa imeokoa maisha ya mtu... And it all depend on where is your refference point...
1. Kama unarefer thamani ya maisha ya mtu, utaona maana ya kondomu.. Ni kama unapokuwa na baba mzazi aliyekusomesha na kukupa huduma zote stahiki duniani kama mtoto.. Akizikwa, thamani yake haiishi kaburini... utaendelea kumkumbuka hata kama phisically hayupo nawe, lakini spiritually upo naye maisha yote

2. kama reference point ni kule ulikoitupa kondomu, basi maana yake umesahahu thamani ya kondomu hiyo kwenye maisha yako... Ni sawa na kudharau baba yako, simply because kafa na kwa wakati huo yupo kaburini

Ndugu Joseph Ludovick, nimeipenda falsafa uliyoitumia... Ni wenye kusoma between lines ndo wataelewa ulichokiandika.. Na sababu kubwa ni uchama.. and not the content

Sambai, unamaanisha mustakabali katika mantiki ipi? jieleze kidogo nipate cha kukujibu.

Nina swali...ivi wewe unakazi unayofanya hapa mjini ya kukuingizia kipato??? inaonekana tatizo kuwa una frustration za maisha
 
Kondomu hii haina ubora Wowote., ndio maana yagawanywa bure ..........
 
Sasa upepo umetulia hali no shwaariii mtakapomaliza vita vyenu vya panzi kunguru ccm watakuwa wameshiibaa na afya telee
 
Ludovick Asante sana umefanya jambo jema, Kukiri kwamba hadharani kwamba umetumika na mahasimu kuangamiza chama, kutengeneza uongo, na kujitengenezea movie na kusababisha binadamu asiye na hatia kwenda jela miezi kadhaa huku familia yake ikiteseka.

Huu ni unyama mkubwa na ukosefu wa utu. Asante sana kwa kujiweka hadharani, basi tusaidie kutumabia mliwezeja wewe na kondomu wenzako kununuliwa kwa kibaba cha mchele.

Je bado waliokupa kufanya kondomu wanakulipa? Je utasaliti wangapi katika maisha yako? Je nini faida ya kusaliti?
 
mmeona madhara ya kutokutumia kondomu? chama kinaharisha sasa

Wewe naona unaharisha non stop tangu jana,ulijificha baada ya ile movie yenu ya ugaidi na producer wako Nchemba ila kwa kuwa mnafiki hajifichi daima basi umeanza kujianika mwenyewe huku ukifata nyendo za Juliana Shonza!!!

Kama unaweza kutusaidia-kwenye ile kesi ulikua mtuhumiwa na ilionyeshwa kuwa ulishiriki mpango ule,je unaweza kutueleza ulifutiwa kesi kwa sababu gani??!!

Vipi na wewe ile kesi yako ya kusema ulitekwa??!! Vipi uhusiano wako na Maggid Mjengwa??!!
 
Huyu dogo na mwenzake kisandu wametumwa kufifisha mjadala wa bajeti na hoja zenye maslahi kwa taifa. Tuwapuuze. Kuwajibu, sisi wenye akili hatutatofautisha.
 
Sambai, unamaanisha mustakabali katika mantiki ipi? jieleze kidogo nipate cha kukujibu.
Ulishasahaulika naona unakumbushia malipo yako kijanja baada ya Mwigulu kujifanya kasahau na kuacha kupokea simu zako...umeanza kui feel njaa mjini sio na kwa lwakatare ulishanyea kambi na huwezi rudi tena rudi BK ukalime ndizi
 
IMEAMRIWA LUMUMBA KWAMBA kila MSALITI AANDIKE ANGALAU NYUZI 2 KWA SIKU , ZA KUSHAMBULIA CDM ILI WALIPWE , VINGINEVYO HAKUNA POSHO !
 
mmeona madhara ya kutokutumia kondomu? chama kinaharisha sasa

WALE WALIOKUWA WANATILIA SHAKA usaliti WAKO SASA WAMEJIONEA WENYEWE , ASANTENI SANA VIONGOZI WA CDM KWA KUMTOA LWAKATARE NA KUMTELEKEZA HUYU MSALITI ( JAPO INASEMEKANA ALIKUWA HALALI SERO )
 
WALE WALIOKUWA WANATILIA SHAKA usaliti WAKO SASA WAMEJIONEA WENYEWE , ASANTENI SANA VIONGOZI WA CDM KWA KUMTOA LWAKATARE NA KUMTELEKEZA HUYU MSALITI ( JAPO INASEMEKANA ALIKUWA HALALI SERO )

amewasaliti wachagga wa chadema
 
ukipingana na mawazo ya kijuha ya mbowe unaitwa msaliti
 
Back
Top Bottom