Nafurahia analogy ya kuitwa kondomu

Nafurahia analogy ya kuitwa kondomu

Free Thinker wamekuelewa walioshikiwa akili hata ulete AKA-47 hawawezi kukuelewa

Issue ni kuwa yeye mwenyewe amekiri kutumiwa kama kondom na pia amethibitisha kuwa CHADEMA hawawatumii watu kama condom.
So yeye katumiwa na na nani kama Condom.
Think big
 
Wewe ni kondomu tuuuu tunasubiria uzi wako wa kuomba ela kama mwenzako

Cc: Deo Kisandu
 
Sambai, unamaanisha mustakabali katika mantiki ipi? jieleze kidogo nipate cha kukujibu.

Kwahiyo huwa unamwambia mke wako kuwa, wewe katika maisha yako ya siasa ni sawa na kondom? Mwanasiasa yeyoto yule anayetaka kujamiiana huwa anakutumia na akimaliza shida zake anakutupa jalalani!. Je, hivyo ndivyo unavyotaka jamii ya Watanzania ikuchukulie?
 
wewe ni shabiki wa chama kipi kweli? Kwa hiyo upo hapa kumshabikia kibaraka wenu? Mwambieni tunataka part 2 ya ile muvi yake fake ya ugaidi.
sina chama fal.a we. I am having my own way.
 
Namuuliza ludo, wewe ulitumika kisha ukatupwa au ulinunuliwa haukutumiwa, au ulikuja kama kondom za msaada watu wakapewa bure? Halafu nauliza, kama ulitumika iweje pawepo na act na ukawa? Au ulishatoboka ukasababisha vimelea kvpita. Na ulipokuwa ndani ya uchi wa chama ulishuhudia nini hadi ukajikuta jaani?
 
wewe ni miongoni mwa misukule kwa hiyo sitarajii kinyume ya hiki ulichokipost'

misukule ipo lumumba tu,hukalilishwa na nape cha kupost na ndio maana huikimbia mijadala na makongamano makubwa ya kitaifa kwa kuhofia kuzomewa kwa kutoa viroja badala ya hoja.
 
Condom! Hapana hata kama ni falsafa mkuu umeitumia isivyotakiwa.
 
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.

Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.

sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.

na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.

sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe
Kondomu ni kifaa cha maana kwa watu wasio na maadili na kukosa uaminifu. Kondomu si kinga imara isipokuwa kwa watu wasio na uelewa kuwa hata trekta linapata pancha linapotumika, siuze kondomu!!!. Kondomu ni aibu kwa watumiaji wake ndio maana kamwe hawaziweki wazi bali huzifichaficha kwa ushetani wao. Kondomu ni zana halisi ya shetani na sehemu ya ushetani wa shetani. Kufurahia kuitwa kondomu kunanitia shaka kwa yeyoye yule aitwaye na akachekelea, yamkini apsteiyazi kwake kumepata sunami. Kaka, vema utubu kwa Mungu na kwa hicho chama unachodai ni chako lakini wenzako wanakuona u kondomu. Lakini pia kwanini kijana wa kiume ukubali kutumika na watu kwa ujira wa yuda msaliti Yesu aliye kweli? Amka!
 
Wandugu,
Kwa nyakati tofauti wapenzi wa chama changu kwa hasira ama makusudi tu wamekuwa wakiniita "ninatumiwa kama kondomu" nimetafakari kidogo matumizi ya kejeli hii na kuona niandike kidogo kuwaunga mkono. ingawa waandishi huandika hivyo kwa maana ya kuni tusi lakini bila kujua hujikuta wamesema mengi sana bila kukusudia.

Sina shaka kuwa wengi tunazifahamu kondomu.zinapanga uzazi, zinazuia magonjwa ya zinaa na ukimwi. ingawa ni kweli baada ya matumizi yake hutupwa na kuharibiwa.lakini kondomu kwa maisha na mazingira ya siku hizi ni kifaa chenye umuhimu mkubwa na yamkini wengi wanakitumia, na hata wale wanaokilaani hadharani yawezekana nyakati fulani faragha wanakitumia.

sasa kuwa muaminifu kwa matumizi ya analogy hii, ni kwenye muktadha wa kisiasa. naam katika hatua mbalimbali chama cha siasa, huzihitaji kondomu. ili kiweze kujamiiana na kujikinga na magonjwa mbalimbali. kwa kweli ni muhimu kuzingatia kuwa ni lazima kutumia kondomu. sasa chama cha siasa kinapoanza kudharau matumizi ya kondomu ndipo hapo hutokea Mimba zisizo tarajiwa, (ACT) AU kikapata UKIMWI hadi kuanza kutumia ARV, (UKAWA)
Japo kondomu zilikuwepo zilidharauliwa, nyingine zikatupwa bila kutumiwa, nyingine zikatupwa hovyo bila kujali mazingira. matokeo yake ni chama kuugulia magonjwa ya zinaa.

na kwa sababu hiyo kinaanza kunyanyapaliwa na watu. na kwa kuwa kinga zake ni dhaifu, magonjwa nyemelezi yamekuwa mengi.

sasa kwa kuzingatia hayo hapo juu, kondomu ni kifaa kizuri au kibaya? na mwenye akili timamu aweza kuacha kutumia kondomu wakati akiendekeza ngono?; wenye akili na waelewe

Aliyekuwekea dhamana mahakamani hadi ukatoka mahabusu nani? Tunaomba kumfahamu! Au ndo hawa unaokiri kuwa wanakutumia kama kondomu? Pole sana kwa kupotea njia na kuamua kumtumikia ibilisi
 
unayehaha ni wewe ficmaji,ukisikia cdm tu tumbo lina kuvuruga unaingia kwenye siku zako!
labda tu nikutolee uvivu. nirahisi UDP ya mtikila kuingia magogoni kuliko kadima yenu. mark my words hata kama yatakuuma.
 
misukule ipo lumumba tu,hukalilishwa na nape cha kupost na ndio maana huikimbia mijadala na makongamano makubwa ya kitaifa kwa kuhofia kuzomewa kwa kutoa viroja badala ya hoja.
we endelea kulamba miguu ya mabwana zako ili mkono uende kinywani. you are not of my level
 
Back
Top Bottom