Nafunguaje wine bila opener?

Gonga kitako cha chupa kwa nguvu kwenye tairi la gari kama hakuna gari tafuta jimama la kijijini lililoshiba gonga kwa nguvu kwenye makalio (hii usijaribu nyumbani) njia nyingine pasha kitako cha chupa kwenye moto mdogo kama mshumaa, madame asikae karibu usije ukamharibu sura.
Tahadhari: VITU VYA KUDOKOA SUPAMAKETI VINA SHIDA.
 
Shida ya kukisukumia kwa ndani kitalowa na kama kina uchafu kwa nje basi utahamia ndani
Alcohol ya kwenye wine itaua vijidudu. Vingapi vichafu tunakunywa basi ndugu yangu nikianza na Juice ya Miwa
 
Katika wine kibao nilizoonja nilipokuwa majuu ni moja tu iliyonivutia, sema haipo kwenye soko la bongo......wajuvi kwa uzoefu wenu ni wine ipi (dry wine) ambayo ladha yake imetulia na unaweza kuifanya kama your favorite wine....
 
Back
Top Bottom