Nafunguaje wine bila opener?

Jimmy ally

Senior Member
May 11, 2017
156
276
Habari waungwana... Moja Kwa Moja.. Uliponunua wine mfano dompo na ukaenda nayo mbali sehem hv au kijijin ili ukifka uko uenjoy.. Ile Time inafika kuangalia opener huna. Ulitumia njian gan kufungua??
 
Tafuta mwiko au chochote kile sukumia ile cork kwa ndani....its easier kuirudisha ndani kwa kusukuma.
 
Unaweza ukatumia lighter iwashe choma kwa nje pembeni ya kwa juu ya mdomo
Kizibo kitapanda taratibu juu yenyewe

Unaweza pia ukatumia funguo ichomeke juu izame, anza kuzungusha huku unaifungua

Ova
 
Unaweza pia pigilia screw juu ikizama,tumia uma kuivuta screw kizibo kishatoka

Mbinu nyingi tu mbn za kilevi

Ova
 
Habari waungwana... Moja Kwa Moja.. Uliponunua wine mfano dompo na ukaenda nayo mbali sehem hv au kijijin ili ukifka uko uenjoy.. Ile Time inafika kuangalia opener huna. Ulitumia njian gan kufungua??
Nilitoboa na msumari kile kizibo aise japo kuna vilivyoangukia ndani.
Bora ungebeba konyagi au Kvant 😂😂😂
Unaweza ukatumia lighter iwashe choma kwa nje pembeni ya kwa juu ya mdomo
Kizibo kitapanda taratibu juu yenyewe

Unaweza pia ukatumia funguo ichomeke juu izame, anza kuzungusha huku unaifungua

Ova
Unaweza pia pigilia screw juu ikizama,tumia uma kuivuta screw kizibo kishatoka

Mbinu nyingi tu mbn za kilevi

Ova
Kwakweli nimeamini burudani ni gharama na headache 🤣🤣
 
Habari waungwana... Moja Kwa Moja.. Uliponunua wine mfano dompo na ukaenda nayo mbali sehem hv au kijijin ili ukifka uko uenjoy.. Ile Time inafika kuangalia opener huna. Ulitumia njian gan kufungua??
Wine ya fundo au ya kizibo?
 
Shida siyo wasomaji/wasikilizaji wanataka kutafsiri kilichoandikwa vile watakavyo wao Mkuu? 😂😂
Kama huyu 🤣🤣🤣🤣🤣 na Kiswahili chake lol!

Shida vijana skuizi wanaandika kiswahili tatanishi, yaani lugha yao imechangamka sana...teh😝😜
 
Habari waungwana... Moja Kwa Moja.. Uliponunua wine mfano dompo na ukaenda nayo mbali sehem hv au kijijin ili ukifka uko uenjoy.. Ile Time inafika kuangalia opener huna. Ulitumia njian gan kufungua??
Uko wapi nije kukusaidia
 
Back
Top Bottom