Nafungua radio kanda ya ziwa..ushauri tafadhali

nakushauri ufungue Geita, mimi Nipo chuo cha saut mwanza nasoma jounalism and masscomunication , hapa tuna kituo chetu cha radio ingawa mitambo yake ni chakavu lakini kina wasikilizaji wengi sana wala radio free isikutishe kama unabisha jaribu kuwa unafungulia Hii radio unapokuwa mwanza, fungua radio tupate ajira bana, kwa msaada zaidi ni. pm
 
Kitu kingine na kuangalia ni mziki upi,utakaochezea wasikirizaji wako, unaweza amua kuwa wewe mziki ni, bongo flavor, arabic, western, country , reggae e.t.c nayo husaidia kupata wasikilizaji wakutosha = matangazo = kipato juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom