Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,470
17,310
Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii.

Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day.

Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee mazingira.

Naombeni muongozo wakuu.

Ahsante.
 
Kwani unatokea nchi gani? Kama unatokea Taifa la Tanganyika, wewe nenda tu. Watakupokea kwa mikono miwili na kukuonesha Hotel ya hadhi yako maana hivyo visiwa vya Zanzibar ni Makoloni yetu tangu 26/04/1964.

Tuliwadanganyia kitu kinachoitwa 'Muungano'
 
Natokea the great Tanganyika.
 
Kwani unatokea nchi gani? Kama unatokea Taifa la Tanganyika, wewe nenda tu. Watakupokea kwa mikono miwili na kukuonesha Hotel ya hadhi yako maana hivyo visiwa vya Zanzibar ni Makoloni yetu tangu 26/04/1964.

Tuliwadanganyia kitu kinachoitwa 'Muungano'
Mwakulitafuta mwanakulipata,ngoja waje Wachambawima.Mi sipo Yakheee!
 
Zanzibar si nchi ya kutembelea siku tatu, namnukuu kessy mbunge wa nkasi, "Zanzibar ni nchi unayoweza kuizunguka yote kwa masaa sita, tena kwa baiskeli"
Kessy haipendi Zanzibar.

Anasema hata mgawanyo wa majimbo Zanzibar unakuta mbunge anawakilisha wananchi 17 au familia yake na analipwa sawa na mbunge anaewakilisha watu milioni 2 huku Bongo na pesa ya jimbo anapewa sawa sawa na wenzake.

Kessy yuko sahihi sema huu muungano wetu unalindwa kwa maslahi ya watu hawataki kuzungumzia hilo. Hofu yangu ni kwamba huu muungano unaonekana unalindwa na chama tawala, kikiingia chama kingine kinavunja huu muungano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom