Nafikiria kuoa mke wa pili kisirisiri

Kanisa gani wataruhusu uoe mke wa 2 ilhali wa kwanza unaishi naye ndani🤔
 
Ngja wanasheria waje.,ila

Muweke mke mkubwa wazi
Mbadili kwny cheti cha kwanza pale
Tick ndoa ya wake wengi ili huyo wa pili uoe bomani

Ndoa sio siri..kuwa fair kwa wote na
Weka wazi..umtendee haki mke mdogo
Ndoa si yako bwana unahofia nini?.
 
Kwa nini unifiche?

Unamuogopa nini mkeo wa kwanza.

Kaa na wazee wako waeleze nia yako. Wakikubali nenda kaoe. Ukianza mambo ya kuficha ficha tu unatengeneza bomu kubwa. Wewe weka wazi process nzima. Ila ya pili usioe kanisani kuepusha mapingamizi nenda kaoe kimila ama bomani
Thank you...
Anaogopa nini?.
 
Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha.
So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua.
Mnaonaje hili wazo langu wakuu?
NB:kabila langu linaniruhusu kuwa na wake hata 1000.
Mimi nitamfadhili mke wako mkubwa aje kuharibu shughuli.
 
Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha.
So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua.
Mnaonaje hili wazo langu wakuu?
NB:kabila langu linaniruhusu kuwa na wake hata 1000.

Una uwezo? Kama chenji zipo oa tu mkuu kama Mganga wa Kienyeji(Bush Dr) Mwaka.
 
Mwamba una papara tusubiri mrejesho wa sensa kuna uwezekano wa kuoa hata wanne kwa mkupuo kihalali kabisa🤔🤔🤔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom