Nafikiria kumuacha. Je niko sahihi?

Nafikiria kumuacha. Je niko sahihi?

Kazi ipo kweli kweli.
Kiukweli mimi naamini nitapata mke smart.

Lakini akichelewa kuja sita owa ni mwendo wa kuwaacha tu hadi aje anaefaa
 
Udongo Uwahi Ungali Maji.
La Kuvunda Halina Ubani.

Changamka Upesi Piga Chini Huyo Ni Pasua Kichwa
 
Hilo hutakiwi kunifundisha mdogo wangu maana nimekuzidi kila kitu. Ninafahamu hayo yote. Kama unajua hakuna aliyekamilika kwanini unaomba ushauri?
Acha ujuaji ww ...,Na kujimwambafai kilafa ...hizo pigo za wanawake ...jiangalie mzee
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mkuu huyo huendani Naye ...Piga chini

Note: Usitafute mtu sahihi tafuta wa kuendana Naye ,coz kwenye maisha hakuna aliyesahihi wala hakuna anayekosea ...
 
Bado niko 50/50

Kuna muda nawaza kumuacha na nikapata mtu mwenye sifa ninazozipenda

Kuna muda naona yeyote nitakayekutana nae kwa sasa atanipenda kutokana na mali nilizonazo na sio utu na atanifanya nijute kumuacha huyu
Wacha uboya wewe hamnaga mwanamke anayekupenda bila kuwa na kitu ata huyo mrembo nae anajua upo vjzuri ndio maana yupo nawe.
 
Back
Top Bottom