mkuu, jibu fupi, hakuna kitu hapo piga chini
and trust me , yuko kifedha kwako , kuna hali nzuri hapo ndio maana hataki asikie habari za kijijini, hataki maisha ya 'shida'
ukitaka kujua hili, kama umepanga pahala pazuri, mwambie nimeyumba kiuchumi, tuhamie sehem ya chumba kimoja ( mf:
Tandale) ukiwa very serious, alaf cheki reaction yake, utajuta
yuko kimaslahi, uyo ni paka shume, slay queen, itafika mda kufua atataka uajiri mtu wa kufua, au kupika uajiri mfanyakazi
ukitaka kum control say asivae suruali, asiweke makucha, asipige kilevi, asiwe na hao rafiki wehu, basi atakuita 'mkoloni'
usikute ana account Insta anatupia picha za m'binuko huko, na wewe hujui, usikute anaenda mpaka kwa Mpalange
ni dem wa kimjini huyo, achana nae fasta maana mnapotezeana mda tu,
ukioa tu hapo, that's hell of a big mistake