Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,325
- 22,295
Huenda hawana Kweli, Mimi Nina jamaa Yangu mmoja TUu,huyu akisema hana,hana Kweli, wengine ni uzushi tuu!Mko salama?
Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka kwenye cycle yangu.
Nafikiria kubadili aina ya watu wanaonizunguka kabisa.
Kama mama Yangu,hata ukimpa akushikie, kwenda kuchukua uwe na maelezo ya kutosha!kila mtu analinda kile alichonacho shiling ikishaingia kutoka ni mtiti balaa
Hivi unajua kuna watu wako radhi kulala au kushinda njaa ilimradi tu wasitumie hela zao yan wazione tu ndio raha yao😆
Aise kuna watu pesa ikishaingia kutoka ni mtiti balaaKama mama Yangu,hata ukimpa akushikie, kwenda kuchukua uwe na maelezo ya kutosha!
Hata wewe huna hio 500k kwa maana hio mmoja wa rafiki zako angekuomba hio hela usingeweza kumpa.Mko salama?
Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka kwenye cycle yangu.
Nafikiria kubadili aina ya watu wanaonizunguka kabisa.
Kwamba mtu akae siku mbili bila kula na hela anazo ni zake ili aziangalie tu?! Mkuu hebu tupumzishe.kuna raia wanapiga deshi ata siku mbili na sio kwamba hawana ela no
Ni ile mtu anajiskia raha kuona hela zake wala hataki kutumia.
Halafu anajifanya aise buddy sina appetite kabisa yani🤣
Unabisha?Kwamba mtu akae siku mbili bila kula na hela anazo ni zake ili aziangalie tu?! Mkuu hebu tupumzishe.
Wewe ndio huyo mtu anaekaa na njaa siku mbili kisa hataki kutumia hela zake kununua chakula?Unabisha?
YapWewe ndio huyo mtu anaekaa na njaa siku mbili kisa hataki kutumia hela zake kununua chakula?
Kwamba unashinda njaa siku mbili na hela za kula unazo lakini huli?
Hahahaha..wewe Ushawahi azima wanaokuomba uwaazime lo??
Ata utakao watafuta watakua kama hao ,Mko salama?