Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

Mbwichichi

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
347
Reaction score
1,837
Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.

Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.

Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa mwaka.

Ninapoishi kodi ni 100,000/= kwa mwezi.

Naomba mawazo.
 
Umeajiriwa???

Kama ndio kachukue mkopo wa miaka 3 - 4 ujenge nyumba ndogo ya vyumba viwili

Kama sio muajiriwa jitahidi kila mwezi usevu laki 3 ambayo kila baada ya miezi mitatu unahakikisha una milioni 1 unaanza mdogo mdogo kujenga.

Yani kila baada ya miezi mitatu hakikisha una 1 milioni, inakupigisha hatua ndogo ndogo
 
Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.

Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.

Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa mwaka.

Ninapoishi kodi ni 100,000/= kwa mwezi.

Naomba mawazo.
kwa kipato hicho na majukumu hayo, kujenga kunahitaji mkakati madhubuti..🙌
 
Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.

Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.

Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa mwaka.

Ninapoishi kodi ni 100,000/= kwa mwezi.

Naomba mawazo.
Mimi nilianza hivi, niliongea na rafiki yangu akanipigia hesabu ya
Matofali
Mawe
Mchanga
Cement
Nondo
Ufundi.
Kiwanja nilikuwa nacho.
Kila mwezi nilikuwa nanunua kimoja nakamikisha.
Baada ya miezi 18 nikaita mafundi nikajenga boma nikapaua nikaweka grill madirishani na milango ya nje nikamwambia wife tuhamie. Ikikuwa 1999.
Wife akasema hakai kwenye pagale akaenda kupanga master safi town akakaa mie nikazama kwenye pagale.
Uchungu niliokuwa nao hela yoyote niliyoipata kila siku nilinunua chochote, hata kilo ya misumari sikuacha kisa sina hela.
Nikapiga ndani ya miezi 11 na geti la ku slide.
Hizo ni pamoja na hasira za kuachwa kisa pagale nilikonda kwa njaa na mawazo.
Eti alituma wazazi waje watupatanishe wakati nikijua alipata mimba ikaharibika sijui alitoa.
 
Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.

Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.

Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa mwaka.

Ninapoishi kodi ni 100,000/= kwa mwezi.

Naomba mawazo.
Watu kama nyie mliopata ka bahati na kuajiriwa huwa mnajifanya wazarendo na kuipigania ccm kwa mapenzi makubwa.....ila mkiwa ma jobless mnakuwa na uchungu mkubwa.
 
Hata mbwa huwa huwa anampigia magoti anayempa chakula na kumbwekea asiyempa
 
Una plan kujenga nyumba ya ukubwa gani?kiwanja u nacho? Wapi ujenzi unafanyika?
nyumba ya vyumba viwili vya kulala ila yenye nafasi ya kutosha kidogo,siyo ndogo kama fume chamber
 
Back
Top Bottom