Nafikiri Serikali ipo sawa kutopandisha mishahara

Nafikiri Serikali ipo sawa kutopandisha mishahara

Mkuu usimjibu huyo zero brain
Zero Brain ni nyie ambao zinapofika sherehe za Mei Mosi mnabebeshwa mabango yenye maandishi ambayo ni maagizo ya vibaraka wa anayewanyima stahiki zenu. Jamaa anawapima akili na we umepimika mazima
 
Wafanyakazi Wa Umma wale wakweli tunawajua. Na niwavumilivu sana Na wastahimilivu. Na ndio sera hizo za chama hivyo wasubiri ilani inayokuja itaweka ongezeko.
 
Nadhani unashindwa kutenganisha watumishi wa serikali na ccm. Unapo sign mkataba na serikali.. hausaini na ccm.. wala haupewi kadi ya chama.

Masuala ya vyamani suala binafsi maana maofisini hata niipo kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu siasa. So wafanyakaz wa serikal si makada wa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Unabisha nn?.Kama sio wote most of them,,kama sio wew potezea au paza sauti mm sio gamba dai haki yako?
 
Watumishi Wa uma wote ni wana CCM na wanatakiwa kufata ilani ya chama. Wakisoma ilani vizuri hakuna sehem imesema wafanyakazi Wa umma tutawaongezea Mishahara hivyo tunaomba watulie wafanyekazi. Ambae atalegea atatumbuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndo iko hivyo hapa Tanzania siku hizi?Nimewahi ajiriwa na serikali mwaka 2007 ila sikuwa mwanachama wa ccm,.kwa hiyo siku hizi kadi ya ccm ni kigezo moja ya kigezo cha kupata kazi serikalini?sikujua, na vipi sheria na ile standing order vimekuwa replaced na Ilani ya ccm? Tz kweli sisi ni vituko
 
Nafikiri wewe sio mtumishi Wa Umma. Kila katibu mkuu anayo ilani ya chama na anatakiwa kuifata hiyo na kuwapa watuwake wote Wa chini. Ndio maana lazima mfate ilani mkikataa tunawatumbua hatuna jinsi nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uandishi wako tu inanipa picha ya kwanini unamawazo hayo.
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana kula furu, unakata gogo jeusi kama fungo dah[emoji3][emoji3]
furu anaeongelewa hapa ni samaki wadogo wadogo hupatikana ziwa victoria,sio lile tunda jeusi linalopatikana kanda ya kati
 
Suala la kupandsha madaraja na kuongeza mishahara Ni suala la kisheria kwa mujibu wa Sheria ya ajira na na mahusiano kazini ya 2004
Suala la kisheria haiihitaji ilani ya chama chochote
 
Suala la kupandsha madaraja na kuongeza mishahara ni la kisheria halihitaji ilani wala huruma ya mtu unajua maana ya Sheria?
Hizo sheria ndio zilisababisha mkawa sio wazalishaji wazuri lakini kwasababu ni serikali ilipeleka basi tumeamua kuzitoa
 
wenye nafasi za kupiga wanapiga. sijui walimu watapiga wapi zaidi ya kuuza kashata na barafu kwa wanafunzi. Mungu awatie nguvu
 
Back
Top Bottom