Nafikiri Serikali ipo sawa kutopandisha mishahara

Nafikiri Serikali ipo sawa kutopandisha mishahara

Watumishi Wa uma wote ni wana CCM na wanatakiwa kufata ilani ya chama. Wakisoma ilani vizuri hakuna sehem imesema wafanyakazi Wa umma tutawaongezea Mishahara hivyo tunaomba watulie wafanyekazi. Ambae atalegea atatumbuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuonyeshe basi ilipoandikwa "Tutanunua ndege" humo kwenye li ilani lao!!!!
 
Watumishi Wa uma wote ni wana CCM na wanatakiwa kufata ilani ya chama. Wakisoma ilani vizuri hakuna sehem imesema wafanyakazi Wa umma tutawaongezea Mishahara hivyo tunaomba watulie wafanyekazi. Ambae atalegea atatumbuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe afute kabisa mishahara ili wafanye kazi wa uzalendo
 
Watumishi msiwe kama watu wasiofikiria mnahangaika kumjibu nini huyu bwashee wakati mtu anawafanyia utani.

Hamuwezi kuona huyu jamaa ana create comprehensive argument to testfy your levels of knowledge or else anapima your reactions towards a gov statement.

You better be quiet and create a better plan for the action.
Let them absorb the recoil the action

Sent using Jamii Forums mobile app
Beyond the truth!
 
Nadhani unashindwa kutenganisha watumishi wa serikali na ccm. Unapo sign mkataba na serikali.. hausaini na ccm.. wala haupewi kadi ya chama.

Masuala ya vyamani suala binafsi maana maofisini hata niipo kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu siasa. So wafanyakaz wa serikal si makada wa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo mkuu. Kwani ukisema ukweli kuwa ni kada wa chama tawala utafukuzwa kazi mkuu? Watumishi makada.
 
Dagaa ni dagaa na furu ni furu.

Mkuu bila shaka utakuwa wa ukae/Pwani+Dar, furu ninazozungumzia hapa sio yale matunda yanayopendwa na Fungo, kanda ya ziwa kuna dagaa zinaitwa furu mara nyingi kwenye dagaa zile zinazokuja Mikoa mengine utakuta ipo/zipo kubwa kidogo zina ladha fulani mbaya
 
We jamaa ni BWEGE sana siku zote wanachofanya watumishi wa uma ni kutekeleza MALENGO ambayo huanzia kwenye SERA.
na SERA HUTOKANA NA MIPANGO YA SERIKALI.
UTUMISHI HAUHUSIANI NA SIASA.
ILANI NDIO HUZAA SERA THEN MALENGO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba nifahamishe ni ILANI ipi inayotumika kutunga SERA na hatimae watumishi kufikia MALENGO?
 
Inaonekana kuna tatizo limeshatengenezwa hapa then atatokea mtu na kuwa upande ule wa wahitaji ili kuwepo na mapambio na vigelegele kama kawaida
Umeona eee wewe subiri May Day Mbeya watu watakavyoingizwa chaka
 
Back
Top Bottom