Nafikiri Serikali ipo sawa kutopandisha mishahara

Nafikiri Serikali ipo sawa kutopandisha mishahara

Ndio maana nimegundua kuwa mfanyakazi namba moja anafanya kazi peke yake.Sioni uwajibikaji wa watu wake Zaidi ya yeye kutoa maagizo unless anapenda kufanya hivyo
 
wenye nafasi za kupiga wanapiga. sijui walimu watapiga wapi zaidi ya kuuza kashata na barafu kwa wanafunzi. Mungu awatie nguvu
Mianya ya upigaji imefungwa
 
Watumishi Wa uma wote ni wana CCM na wanatakiwa kufata ilani ya chama. Wakisoma ilani vizuri hakuna sehem imesema wafanyakazi Wa umma tutawaongezea Mishahara hivyo tunaomba watulie wafanyekazi. Ambae atalegea atatumbuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi hawajariw kwa ilan, wanajriwa kwa Sheria za utumish wa umma
 
Wewe ni mmoja wa wale wanaoamini John Pombe ni bwana na mwokozi wao.
Sipati shida kujua utoro wa ubongo wako kichwani.
Kuku mdogo kweli wewe
 
Wewe ni mmoja wa wale wanaoamini John Pombe ni bwana na mwokozi wao.
Sipati shida kujua utoro wa ubongo wako kichwani.
Kuku mdogo kweli wewe
Nafikiri nawewe utakuwa utakuwa umeanza kuamini
 
Back
Top Bottom