Mnapewa ilani kumbuka. Kama huna muulize bosi wakoNadhani unashindwa kutenganisha watumishi wa serikali na ccm. Unapo sign mkataba na serikali.. hausaini na ccm.. wala haupewi kadi ya chama.
Masuala ya vyamani suala binafsi maana maofisini hata niipo kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu siasa. So wafanyakaz wa serikal si makada wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipo ajiriwa na serikal sikupewa ilani. Nilipewa mkataba wenye masharti ya kazi.
Nimekuambia kachukue kwa bosi maana mnachotekeleza ni ilani ya chama. Kama mkataba wako hauendani na ilani basi huo mkataba ni batiliNilipo ajiriwa na serikal sikupewa ilani. Nilipewa mkataba wenye masharti ya kazi. Sikupewa hii kazi ili kutumikia chama.. nimepewa kutumika watanzania wanyonge.
Sitokaa nisome ilani.. wala jiuhusisha na siasa kwenye kazi yangu.
Tatizo ni watu waliokulia kuuza na kula furu na kuchunga ng'ombe ndio wenye roho mbaya sio ilani wala sheria za nchi
Mkuu bila shaka utakuwa wa ukae/Pwani+Dar, furu ninazozungumzia hapa sio yale matunda yanayopendwa na Fungo, kanda ya ziwa kuna dagaa zinaitwa furu mara nyingi kwenye dagaa zile zinazokuja Mikoa mengine utakuta ipo/zipo kubwa kidogo zina ladha fulani mbayaMkuu umenikumbusha mbali sana kula furu, unakata gogo jeusi kama fungo dah[emoji3][emoji3]
Nimekuambia kachukue kwa bosi maana mnachotekeleza ni ilani ya chama. Kama mkataba wako hauendani na ilani basi huo mkataba ni batili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usimjibu huyo zero brainEti mkataba huendani na ilani. Baba we siajaairiwa na ccm.. nimeajiriwa na serikali.
Mkataba huwa unakuja na job description ya majukumu yako. Na huo ndio utaratibu. Natekeleza majuku yangu according to sheria za nchi.. na si ilani ya chama. Ilani si sheria eti ni lazima.. hell no
wanyonge ndio kinanani?Nilipo ajiriwa na serikal sikupewa ilani. Nilipewa mkataba wenye masharti ya kazi. Sikupewa hii kazi ili kutumikia chama.. nimepewa kutumika watanzania wanyonge.
Sitokaa nisome ilani.. wala jiuhusisha na siasa kwenye kazi yangu.
We jamaa ni BWEGE sana siku zote wanachofanya watumishi wa uma ni kutekeleza MALENGO ambayo huanzia kwenye SERA.Nimekuambia kachukue kwa bosi maana mnachotekeleza ni ilani ya chama. Kama mkataba wako hauendani na ilani basi huo mkataba ni batili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri wewe sio mtumishi Wa Umma. Kila katibu mkuu anayo ilani ya chama na anatakiwa kuifata hiyo na kuwapa watuwake wote Wa chini. Ndio maana lazima mfate ilani mkikataa tunawatumbua hatuna jinsi nyingine.We jamaa ni BWEGE sana siku zote wanachofanya watumishi wa uma ni kutekeleza MALENGO ambayo huanzia kwenye SERA.
na SERA HUTOKANA NA MIPANGO YA SERIKALI.
UTUMISHI HAUHUSIANI NA SIASA.
ILANI NDIO HUZAA SERA THEN MALENGO
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri wewe sio mtumishi Wa Umma. Kila katibu mkuu anayo ilani ya chama na anatakiwa kuifata hiyo na kuwapa watuwake wote Wa chini. Ndio maana lazima mfate ilani mkikataa tunawatumbua hatuna jinsi nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app