Nafikiri nilikosea kusoma degree ningeishia form four

ttz watz wengi mmerundikana kwenye common courses , mwishowe mwajiri haez waajili watu wote kwenye nafasi moja

kuna koz nying huwa mnazipita na hizo kozi watu wanapata kaz mseleleko
Kozi gani hizo hapahapa zitaje, mana mm ninachojua kozi zote duniani wanaohangaika kupata channel au kitu cha kufanya wapo
 
usisome kufuata mkumbo, mtoto wa fulan kasoma ualimu kapata ajira , nenda na ww mwanang ukasome utapata ajira , sijui huwa mnahisi hapa kati mpo chuo hakuna watu wanamaliza kweny hzo kozi ?

mimi nliamua kwenda chuo X nkapiga dip kisha nkapata chimbo kwa 750k na accomodation ya kula kulala na nauli

baadae nkaenda jiongeza baada ya kupata kozi yenye soko , nkapiga degree

ila watz weng mnafanya kosa kusoma kwa kufuata level na sio kufuata malengo

nkupe sample ya kozi bado zina soko kwa mtoto wa mkulima

1.Physiotherapy
2.Occation therapy
3.TATCOT
4.Optometry

hizi ni koz za dip bado zina soko na kwa mwaka wanatoka wanafunzi wachache , japo baada ya miaka 5 nazo zitakuwa na watu wengi mtaani maana vyuo vya hii koz vimeanza ving tangu mwaka 2023
Physiotherapy haitakuja kukosa soko.
Watu kila siku wanauguza magonjwa yanayo hitaji huduma za hao wataalamu na wengi wanahitaji hizo huduma wakiwa nyumbani.
Watu watajiajiri kwa hiyo taaluma.
Ukosefu wetu wa umakini ajali kila siku, ulaji wetu mbaya magonjwa yanayo sababisha stroke sijui kiharusi ni mengi sana watu wanahitaji physiotherapist.
 
Una miaka 30 bado hujaajiriwa halafu ni ualimu, duh! Ni shughuli pevu sana hapo ukichukulia wahitimu wamekuwa wengi na wanazagaa mitaani, serikali nayo haiajiri kwa mkupuo walimu wengi kama zamani ilikuwa inazoa wengi kirahisi na kuwapa ajira chapchap, nadhani mnawakumbuka 'voda fasta'
 
Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.

WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.

Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai
akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe haziendi kabisa hadi kupata elf2 ndani ya saa24 ni mtiti.

Namsikiliza tu. Kaongea mengi kweli ila kwa ujumla akasema amepoteza jumla ya miaka 2 ya form 5&6
Miaka 3 degree
Miaka 8 kupiga vibarua vya laki 1 na laki 2 za kufundisha na kujitolea mashule 12 aliyofanya kazi

Jamaa ana familia leo kaja kunywa chai geton kwangu sijui home kwake mke na watoto wamekula nn asbh. Mwingine mlokole namjua ila mpk leo ana siku ya 16 anafunga kubana bajet ale usiku tu alale

Nafikiri shule sikuhizi haina umuhimu. Mladi tujue kusoma na kuandika kisha twende veta kusomea ufundi turudi mtaani kujiajili ila haya ya form 1-4, 5&6, degree labda hizi zinafaa marekani na dubai sisi tanzania technical skills ndio zinatufaa
Wakati huo nina jamaa yangu aliishia Form IV akafeli kisha akaenda VETA kujifunza ufundi WELDING, Kwasasa ana nyumba, familia, magari mawili na ameajiri watu

Wenye Degree zao huwa wanamwomba pesa hali ikibana

Jana tumewasiliana nae, anahitaji kiwanja cha kununua km nikisikia nimjuze
 
Nipe tofauti ya ujuzi na taaluma, nipo hapa kupata maarifa mapya.
Ujuzi( skills) The ability to do something well. Taaluma( profession) often require education, certification or licensing. Sorry am not good in Swahili, ningekuelewesha kwa Kiswahili.
 
Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.

WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.

Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai
akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe haziendi kabisa hadi kupata elf2 ndani ya saa24 ni mtiti.

Namsikiliza tu. Kaongea mengi kweli ila kwa ujumla akasema amepoteza jumla ya miaka 2 ya form 5&6
Miaka 3 degree
Miaka 8 kupiga vibarua vya laki 1 na laki 2 za kufundisha na kujitolea mashule 12 aliyofanya kazi

Jamaa ana familia leo kaja kunywa chai geton kwangu sijui home kwake mke na watoto wamekula nn asbh. Mwingine mlokole namjua ila mpk leo ana siku ya 16 anafunga kubana bajet ale usiku tu alale

Nafikiri shule sikuhizi haina umuhimu. Mladi tujue kusoma na kuandika kisha twende veta kusomea ufundi turudi mtaani kujiajili ila haya ya form 1-4, 5&6, degree labda hizi zinafaa marekani na dubai sisi tanzania technical skills ndio zinatufaa
Haina deal ndugu wewe tazama hata watu wanaozunguka na viongozi wa nchi au wanaopewa nafasi za kuonana nao na kutangaza eti kazi walizotekeleza.
Halafu baadaye utegemee wadogo zetu wavutiwe na wasomi badala ya akina hamisa wanawaona wametoboa bila kusoma. Thubutu
 
Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.

WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.

Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai
akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe haziendi kabisa hadi kupata elf2 ndani ya saa24 ni mtiti.

Namsikiliza tu. Kaongea mengi kweli ila kwa ujumla akasema amepoteza jumla ya miaka 2 ya form 5&6
Miaka 3 degree
Miaka 8 kupiga vibarua vya laki 1 na laki 2 za kufundisha na kujitolea mashule 12 aliyofanya kazi

Jamaa ana familia leo kaja kunywa chai geton kwangu sijui home kwake mke na watoto wamekula nn asbh. Mwingine mlokole namjua ila mpk leo ana siku ya 16 anafunga kubana bajet ale usiku tu alale

Nafikiri shule sikuhizi haina umuhimu. Mladi tujue kusoma na kuandika kisha twende veta kusomea ufundi turudi mtaani kujiajili ila haya ya form 1-4, 5&6, degree labda hizi zinafaa marekani na dubai sisi tanzania technical skills ndio zinatufaa
Mwisho darasa la Saba tosha, hata wakifosi darasa la Saba hakuna mtihani na Mimi nafosi vilevile, lasaba mwisho, nitamfundusha mwenyewe maisha na atayaweza tu. Watu wanamaliza sana pesa shuleni, Ajira hamna na akipata Ajira ni ya laki nne haimfai chochote na umr umeenda.
 
Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.

WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.

Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai
akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe haziendi kabisa hadi kupata elf2 ndani ya saa24 ni mtiti.

Namsikiliza tu. Kaongea mengi kweli ila kwa ujumla akasema amepoteza jumla ya miaka 2 ya form 5&6
Miaka 3 degree
Miaka 8 kupiga vibarua vya laki 1 na laki 2 za kufundisha na kujitolea mashule 12 aliyofanya kazi

Jamaa ana familia leo kaja kunywa chai geton kwangu sijui home kwake mke na watoto wamekula nn asbh. Mwingine mlokole namjua ila mpk leo ana siku ya 16 anafunga kubana bajet ale usiku tu alale

Nafikiri shule sikuhizi haina umuhimu. Mladi tujue kusoma na kuandika kisha twende veta kusomea ufundi turudi mtaani kujiajili ila haya ya form 1-4, 5&6, degree labda hizi zinafaa marekani na dubai sisi tanzania technical skills ndio zinatufaa
Maisha sio poa na kila kukicha afadhali ya jana
 
Ujuzi( skills) The ability to do something well. Taaluma( profession) often require education, certification or licensing. Sorry am not good in Swahili, ningekuelewesha kwa Kiswahili.
Simply Taaluma ni zile zenye kufuata mlolongo rasmi uliowekwa na taasisi husika za elimu, lakini kwenye ujuzi ni tofauti kidogo inaweza kuwa hakuna mlolongo maalum na mtu akapata ujuzi! Mfn. Anayejua Kuendesha gari ana ujuzi lakini walio wengi unakuta alijifunzia kitaa! Lakini Huwezi kumkuta Daktari au Mwalimu kajifunzia kitaa hiyo taaluma yake na aka-practice to the excellence. Nimejaribu hivyo
 
Back
Top Bottom