Nafikiri nilikosea kusoma degree ningeishia form four

Nafikiri nilikosea kusoma degree ningeishia form four

Tatizo sio marekani na dubai shida ni elimi yetu aimwqndai mtu kujiajili
Mimi ningekuwa wazili wa elimu au raisi imekuwa chuo ni miaka 4 miaka 1 dalasani miaka 2 mafunzo kwa vitendo kwaka wa mwisho ni project
kbs
 
Tatizo sio marekani na dubai shida ni Elimu yetu haimwandai mtu kujiajili
Mimi ningekuwa waziri wa Elimu au Raisi imekuwa chuo ni miaka 4 miaka 1 dalasani miaka 2 mafunzo kwa vitendo kwaka wa mwisho ni project
Ni mawazo mazuri sana, utekelezaji wake sio kazi nyepesi kwakuwa hata professor Mkenda aliliwaza hili pia
 
Tatizo sio marekani na dubai shida ni Elimu yetu haimwandai mtu kujiajili
Mimi ningekuwa waziri wa Elimu au Raisi imekuwa chuo ni miaka 4 miaka 1 dalasani miaka 2 mafunzo kwa vitendo kwaka wa mwisho ni project
Kujiajili❌ Kujiajiri✅
Dalasani❌ Darasani✅
Taratibu... pole lakini.
 
Sasaivi upepo uliopo ni kwamba watu waliosoma VETA ndio wametusua. 😃 Wakati mi nawajua wengi tu choka mbaya hawana mbele wala nyuma. Ila acha twende na upepo tusiue vaibu
kabisa mkuu wa veta wamechoka balaa nashangaa hizi hadaa za viongozi kutudanganya kwenda huko
 
Unaweza ukasoma hata Harvard Ila bado usifike pale unapopahitaji.

Moja ya ujinga ambao huwa naukataa ni kufanya mambo kwa kufata trending.

Mfano Kassim Majaliwa amesema Vijana waende VETA ni kitu kozuri Ila kabla haujaenda VETA lazima ujiulize hicho cheti cha VETA na ujuzi wa VETA ndo mambo unayoyahitaji kufanikiwa?
 
Tolea mfano huyo mtu wa Harvard. Msichanganye mambo hapa
 
Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.

WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.

Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai
akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe haziendi kabisa hadi kupata elf2 ndani ya saa24 ni mtiti.

Namsikiliza tu. Kaongea mengi kweli ila kwa ujumla akasema amepoteza jumla ya miaka 2 ya form 5&6
Miaka 3 degree
Miaka 8 kupiga vibarua vya laki 1 na laki 2 za kufundisha na kujitolea mashule 12 aliyofanya kazi

Jamaa ana familia leo kaja kunywa chai geton kwangu sijui home kwake mke na watoto wamekula nn asbh. Mwingine mlokole namjua ila mpk leo ana siku ya 16 anafunga kubana bajet ale usiku tu alale

Nafikiri shule sikuhizi haina umuhimu. Mladi tujue kusoma na kuandika kisha twende veta kusomea ufundi turudi mtaani kujiajili ila haya ya form 1-4, 5&6, degree labda hizi zinafaa marekani na dubai sisi tanzania technical skills ndio zinatufaa
Hiyo Sitiation inaumiza sanaaa sanaaa! Ni vile tuu maumivu ya moyoni hayaonekani kwa macho! Kweli unakuta mtu alisota mpaka akamaliza chuo kikuu halafu leo hii haajiriwi, mbaya zaidi maarifa ya chuoni yanampa asilimia chache sanaa za yeye kujiajiri kwa fani yake! Hapo mtu anaweza aka- data!! Mungu aturehemu
 
Population nayo inachangia
Population ni main variable ya kutatua changamoto hii, ingaw mfumo halisi wa elimu ni pyramidal. So hawa wanaodondoshwa na mfumo wafanye kazi nje ya specialisation yao watakuwepo tu.
 
Back
Top Bottom