Nafikiri MESSAGE ameipata, Lipumba alidhani umma uko upande wake.

Hii ni message kubwa sana kwa Lipumba mwenyewe, wafuasi wake na serikali ikiwakilishwa na msajili wa vyama, kuwa, pamoja na yote yanayofanywa na serikali kwa mgongo wa msajili na vyombo vya dola kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF, lakini leo UMMA wa watanzania umekataa umewaambia wazi kuwa jamii inaona na inajua nani mkorofi ndani ya CUF.

Kwa Umoja wao wananchi wamekataa uonevu, bila kujali vyama vyao wamesimama upande wa HAKI wa viongozi halali wa CUF, wameulinda uongozi halali kwa hali na mali kwa kuwapa kisago kitakatifu vibaraka wa prof. Lipumba mwenyekiti aliyejiuzulu na baadaye kufukuzwa uanachama. Sijui kama watarudia tena.
View attachment 499658

Hongera sana wananchi wa Mabibo Kinondoni kwa kweli leo mmenifurahisha sana na mmekonga nyoyo za wapenda amani wengi, bila ninyi huenda madhara makubwa yangetokea.
Wangemhasi huyo jamaa kwa kutumia burdizzo
 
Kuukubali Uprofesa kwa sasa ngoja niende likizo kwa ajili ya bwana yule
 
Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
Hayo ya JPM hayatafanikiwa bila ya kuwepo amani ya kweli, mshikamano na haki kwa wote. Katu hayatafanikiwa bila Uhuru wa vyombo vya habari. Na hayatafanikiwa kwa kudhamiria kuua upinzani.
 
Impartial comments never attracts partisans minds. You always want to hear what favours your feelings and I don't think that's the duty JF platform.
 
Kuanzia sasa Proff. Lipumba anafaa kuitwa Mbabe wa kivita sio mwanasiasa.
Namwomba Proff. Lipumba na vijana wake wahamie somalia ama sudan kusini ili wakacheze ligi hiyo na kuiacha nchi yetu salama.
 
Hayo ya JPM hayatafanikiwa bila ya kuwepo amani ya kweli, mshikamano na haki kwa wote. Katu hayatafanikiwa bila Uhuru wa vyombo vya habari. Na hayatafanikiwa kwa kudhamiria kuua upinzani.
Sina kumbukumbu ni nchi gani iliyoendelea kwa watu kukesha mitaani kupingana na mamlaka za utawala. Wenzetu walianza kujadili democracy baada ya kupiga hatua na watu kujifunza na kuona umuhimu wa kufanya kazi kwa kujituma na kuwajibika ipasavyo. Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu kwamba wa Tanzania waliowengi wavivu na ndio maana nchi yenye kila aina ya rasilimali lakini bado watu wake ni maskini wa kutupwa. Vijana waoga kuingia kwenye ushindani. Sababu kuu ni misingi mibovu tuliyoiweka tangu mwanzo. Lazima ufanyike ukarabati mkubwa kwenye msingi ndio tutasonga. Na msingi hauwezi kuwa na rundo LA wataalam wanaokesha kwenye vikao badala ya kufanya kazi. Sasa ni muda mchungu kwa kila mtu hadi msingi ukae sawa then tutaanza kukata mbeleni namna na kujenga kuta na kupaka Rangi. Lakini kwa sasa tunataka kamanda mmoja tu atunyooshe mpaka akili zikae sawa. JPM piga kazi na tutaonana mbele ya safari wakati DSM hakuna foleni, reli imejengwa, barabara zinapitika kila mahali, wezi wamepungua, madini yatakapoanza kunufaisha uchumi wa nchi, umeme utakapokuwa kila kona na elimu itakapokuwa ni elimu ya kumfanya mtahiniwa asiwe tegemezi.
Mazingira ya amani tuliyonayo yanatosha kufanya uwekezaji tulivu. Porojo za waathirika wa mabadiliko zisikukwaze. Kanyaga twende kamanda.
 
Safi
 
Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
nami nawapa hongera tena sana......hao wameenda kuteka na kuuwa watu wasio na hatia, baadala yake alikuwa anataka kuua akatiwa nguvuni na umma. safi
 
Hii ni message kubwa sana kwa Lipumba mwenyewe, wafuasi wake na serikali ikiwakilishwa na msajili wa vyama, kuwa, pamoja na yote yanayofanywa na serikali kwa mgongo wa msajili na vyombo vya dola kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF, lakini leo UMMA wa watanzania umekataa umewaambia wazi kuwa jamii inaona na inajua nani mkorofi ndani ya CUF.

Kwa Umoja wao wananchi wamekataa uonevu, bila kujali vyama vyao wamesimama upande wa HAKI wa viongozi halali wa CUF, wameulinda uongozi halali kwa hali na mali kwa kuwapa kisago kitakatifu vibaraka wa prof. Lipumba mwenyekiti aliyejiuzulu na baadaye kufukuzwa uanachama. Sijui kama watarudia tena.
View attachment 499658

Hongera sana wananchi wa Mabibo Kinondoni kwa kweli leo mmenifurahisha sana na mmekonga nyoyo za wapenda amani wengi, bila ninyi huenda madhara makubwa yangetokea.
Message gani hiyo? Mbona la Mabibo hutokea kila mahalu? Wewe uliona kibaka anachomoa hereni za wanawake au mwizi anashikwa sokoni au jambazi kwenye halaiki, si hupigwa na wananchi wenye hasira? Hapa hatujui aliyepigwa kama ni blue guard waliofukuzea Pemba au ni vibaka wa kawaida. Message hiyo si mpya tunayo tangu zamani.
 
Chadema mmepoteza image yenu ya chama cha wapinga ufisadi, chama cha wapenda haki na pia mmejisahau sana mpaka kufikia kukumbatia maovu na madudu ya ccm ya enzi zile.
Kwahiyo Chadema usajiri wao kwa msajiri ni chama cha kupinga Ufisadi? Aisee hebu fafanua mkuu
 
Hii ni message kubwa sana kwa Lipumba mwenyewe, wafuasi wake na serikali ikiwakilishwa na msajili wa vyama, kuwa, pamoja na yote yanayofanywa na serikali kwa mgongo wa msajili na vyombo vya dola kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF, lakini leo UMMA wa watanzania umekataa umewaambia wazi kuwa jamii inaona na inajua nani mkorofi ndani ya CUF.

Kwa Umoja wao wananchi wamekataa uonevu, bila kujali vyama vyao wamesimama upande wa HAKI wa viongozi halali wa CUF, wameulinda uongozi halali kwa hali na mali kwa kuwapa kisago kitakatifu vibaraka wa prof. Lipumba mwenyekiti aliyejiuzulu na baadaye kufukuzwa uanachama. Sijui kama watarudia tena.
View attachment 499658

Hongera sana wananchi wa Mabibo Kinondoni kwa kweli leo mmenifurahisha sana na mmekonga nyoyo za wapenda amani wengi, bila ninyi huenda madhara makubwa yangetokea.
Pale unapotanguliza hisia mbele ya akili ndo utapata uzi kama huu.
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/187ec72428ac4d89c2b2ece7b89693c7.jpg[/IMG
Jamani mwenye mjomba wake amchukueeeeeeee
 
Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
Mbona lori linakata miti na kung'oa nyasi porini au we hulioni hili????
 
Back
Top Bottom