Nafikiri MESSAGE ameipata, Lipumba alidhani umma uko upande wake.

Nafikiri MESSAGE ameipata, Lipumba alidhani umma uko upande wake.

Itabidi ile pesa ya ruzuku Li-pumba alotafuna ampunguzie huyo jamaa akafungue hata kibanda cha kahawa na kashata
 
Haya sasa wamemkata breki mguu mmoja huyo tayari ni kilema wa kudumu,

Lipumba yuko ofisini amelala wakati mpambe wake anaambulia ulemavu wa kudumu.
 
Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
Nenda zako Jpm anakupamlia nini
 
Wewe Ni mwehu!!!
Utashabikiaje fujo kichaa wewe!!
Kichaa mwenyewe unayeshabikia majambazi, unifuate na bastola halafu nikuache nakumaliza tu mwenzako anabahati kanyofolewa kisigino tu mwambie arudie tena.
 
Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
Ha ha ha ha ha
 
Hii ni message kubwa sana kwa Lipumba mwenyewe, wafuasi wake na serikali ikiwakilishwa na msajili wa vyama, kuwa, pamoja na yote yanayofanywa na serikali kwa mgongo wa msajili na vyombo vya dola kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF, lakini leo UMMA wa watanzania umekataa umewaambia wazi kuwa jamii inaona na inajua nani mkorofi ndani ya CUF.

Kwa Umoja wao wananchi wamekataa uonevu, bila kujali vyama vyao wamesimama upande wa HAKI wa viongozi halali wa CUF, wameulinda uongozi halali kwa hali na mali kwa kuwapa kisago kitakatifu vibaraka wa prof. Lipumba mwenyekiti aliyejiuzulu na baadaye kufukuzwa uanachama. Sijui kama watarudia tena.
View attachment 499658

Hongera sana wananchi wa Mabibo Kinondoni kwa kweli leo mmenifurahisha sana na mmekonga nyoyo za wapenda amani wengi, bila ninyi huenda madhara makubwa yangetokea.

Uyo mshenzi angetakiwa kuchomwa moto au kukatwa shingo.
 
Alichokipata tayari ni fundisho kwa wengine wajue raia wana nguvu zaidi ya wao
 
Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
JPM angefanya yake asingemlinda Lipumba !!
 
Lipumba pumba kwani ni hakujitokeza yeye?ingekua poa sana
 
lipumbavu linategemea support ya sizonje na msajili. safari hoi wamepatikana
 
Back
Top Bottom