- Thread starter
- #101
Kama mnayo tangu zamani haya endeleeni ya jana ni demo yake.Message gani hiyo? Mbona la Mabibo hutokea kila mahalu? Wewe uliona kibaka anachomoa hereni za wanawake au mwizi anashikwa sokoni au jambazi kwenye halaiki, si hupigwa na wananchi wenye hasira? Hapa hatujui aliyepigwa kama ni blue guard waliofukuzea Pemba au ni vibaka wa kawaida. Message hiyo si mpya tunayo tangu zamani.