Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Bado Profeeee Lipumbuuuu akatwe yoteeéee
What did you expect?Duuuuuh. Kudundana twapeana hongera badala ya pole. Siasa uchwara mbaya sana. Nafuu JPM kaamua kufanya yake na wanasiasa waendelee na ya kwao. Maana akianza kuwafuatilia wafanyayo wanaweza kumuondoa kwenye barabara na kukuta anaingiza porini Lori.
Nyie huku twanganeni na hakuna wa kuamulia hadi wenyewe mpate akili. Dadadeki.
Wewe Ndo nakuona Mwendawazimu kabisa.Wewe Ni mwehu!!!
Utashabikiaje fujo kichaa wewe!!
Kweli mkuu kuanzia leo kabla ya kuvamia watakuwa wanajiuliza mara mbilimbili.amani haiji ila kwa ncha ya upanga...heshima itarudi tu...
sidhani kama ni chadema, tunataka hiyo waliyemdaka aminywe pum.bu mpaka aseme katumwa na nani na waziri au polisi watupe majibu, lakini kama ni mtu wao kamwe hatutasikia loloteChadema mnaiharibu CUF sio mambo hayo na hii dhambi inawahusu sijui kama mtasalimika 2020
una uhakika au unabwabwaja tu kama mwakiyembeChadema mmepoteza image yenu ya chama cha wapinga ufisadi, chama cha wapenda haki na pia mmejisahau sana mpaka kufikia kukumbatia maovu na madudu ya ccm ya enzi zile.
Wewe Ni mwehu!!!
Utashabikiaje fujo kichaa wewe!!
Anayeiharibu cuf ni ccm, na tunashukuru ukweli wananchi wameanza kuuona, na kichaa ni Viongozi wa ccm, Nadhani hao waliovamia hapo ndo waliomteka Ben saananeChadema acheni kuiharibu CUF narudia kusema
Safi sana mabibo,hata hivyo naona Huyo kibaraka hajabanwa vizuri aeleze waliomtuma na kiasi cha pesa alichopewa
Safi sana mabibo,hata hivyo naona Huyo kibaraka hajabanwa vizuri aeleze waliomtuma na kiasi cha pesa alichopewa
Wamekupa ushahidi gani?Hii ni message kubwa sana kwa Lipumba mwenyewe, wafuasi wake na serikali ikiwakilishwa na msajili wa vyama, kuwa, pamoja na yote yanayofanywa na serikali kwa mgongo wa msajili na vyombo vya dola kumsaidia Lipumba kuihujumu CUF, lakini leo UMMA wa watanzania umekataa umewaambia wazi kuwa jamii inaona na inajua nani mkorofi ndani ya CUF.
Kwa Umoja wao wananchi wamekataa uonevu, bila kujali vyama vyao wamesimama upande wa HAKI wa viongozi halali wa CUF, wameulinda uongozi halali kwa hali na mali kwa kuwapa kisago kitakatifu vibaraka wa prof. Lipumba mwenyekiti aliyejiuzulu na baadaye kufukuzwa uanachama. Sijui kama watarudia tena.
View attachment 499658
Hongera sana wananchi wa Mabibo Kinondoni kwa kweli leo mmenifurahisha sana na mmekonga nyoyo za wapenda amani wengi, bila ninyi huenda madhara makubwa yangetokea.