Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

Mtume Mohammad awali ya yote yeye alikuwa binadam na aliteuliwa na kuandaliwa kuwa mtume angaliakiwa mdogo kwa kupitia mjumbe(malaika) jibril
mimi sikatai muhammad ni mtume ilaha nakataa kata kwamba yeye ni Mtume wa Mungu...hasa nikirejea profile yake! labda uniaminishe wewe mtu aliye ruhusu zina, uuaji, liwati, kubaka mwanamke wa mwanae, kumuingilia safiyah baada ya kumuua baba na mme wake bila kumlipia mahari wala eida yake kutimia...kuwa katumwa na Mungu aliye Takasika...niaminishe mkuu nami niamini
 
Msingi wa propaganda za wa missionary kwa africa dhid ya uislam ulimlenga Muhhamad kwasababu iman ya ukristo imeagamia kwa Yesu kristo sasa kwa sababu wanajua Quran na mafundisho yake ili kuwaziba macho waliikija na aprroach ya kuhakikisha wanamchafua mtume Muhhamad ili akishachafuka yeye hana sababu ya kufuatwa sababu mmeshasema alikuwa ni mbakaji,mzinzi na muuwaji na pili wakalenga iman za kishirikina na kuzihusinisha na uislam bila hata kujua elimu ya mambo yasionekan wakristo wengi wanaamin kil muislam ana majini na watumish wenu wametembea kwenye mitaala hiyo had leo wanahibiri majini,utajiri na uchafu wa kutunga wa muhhamad...lengo lao lilifanikiwa.ila ukiamua kujielimisha kidogo tu kutafuta vyanzo sahihi utaujua ukweli..ukienda ulaya wanuchafua uislm kwenye ugaid na kumkandamiza mwanamke hawalet mitaala ya kumkandamiza mwanamke africa sababu africa tayari kabla ya uislam mwnamke anakandamizwa...ntafurahi sana ukimia kutafuta ukweli kuliko kusikiliza mafundisho ya kanisa..kila siku vitabu viwili vina andikwa dhid ya muhamad na uislam kila siku..!.lakin bado ndio din inayo enea kwa kasi america na ulaya hata ccn juz walikuwa wanazungumzia the spread of islam in america sababu inakuwa kwa asilimia kubwa sana!

Na mtume alisema ipo siku uislam utaingia kila nyumba
 
Ukihitaji ntakuonesha muhhamad kwenye bibblr pamoja na kupindua pindua hayo machache yaliyobaki ni makusudi ya Allah ije kuwa ushahid kwenu haya Yesu aliwaambia atakuja mtume baada yangu ila post haihusiani na unachobishania...ni swala la elimu tu sio kashfa.
Najua watu wengi hushikilia misimamo ya iman zao sabahu hawataku kuomekana ni wajinga au walikuwa hawajui huna haja yakushikilia misimamo badala ya kutafuta ukweli na kuamza kutafuta makando kando ya ku justfy iman yako din zetu wengi tumerithi kwa wazazi bila kujua nini kiliwaangiza wazazi wetu kweny iman hizo au kwa kutokujua wa kwa mali au elimu au kwa kujua ni lazima ujielimeishe ili uchague iman yako kama utabaki nayo hiyo hiyo na ujielimishe ukiwa hauko bias dhid ya iman nyingine jifunze tu utaona ukweli maana Yesu anasema ukiutafuta ukweli, ukweli utakutafuta pia! Fanya hivyo acha kuchuma dhambi kwaafundisho yasiyo sahihi...ukiona muislam anamkashifu Yesu ujue huyo hata uislam haujui
 
Kwa vigezo gani na mamlaka ya wakina nani, kuchagua vile halali??? Kwa nini Yesu hakuacha kitabu? Alikuwa hawezi kuandika?? Biblia yote ni kauli taarifa, watu wananukuu mambo ya watu, chanzo hakijulikani, si yesu wala mitume wake wala Paulo,wala musa, wala manabii, wala wafalme wote ni uongo mjipange vizuri ndugu,misukule tumeamka

Vitu vingi duniani vimewekewa viwango na wanadamu hao hao. Sheria zetu, mifumo ya serikali na tawala zingine, utawala, elimu na madaraja yake, itifaki za tiba za magonjwa, na mengine mengi duniani. Hata dini pia. Kwa mfano unaweza kusoma dini kwa kusoma somo la Phenomenology of Religion. Hapo ukaelewa dini kwa kina na kwa rejea ukateua dini chache ukazisoma kwa mfumo huo. Suala la Maandiko ya Biblia linaangukia somo la Sacred literature yaani maandiko matakatifu na unasoma kwa kina eneo hilo. Biblia (Christianity), Koran (Islam) Bhagavad Gita (Hindu), Granth Sahib ( Sikh), Book of History (Kung Fu Tze). Ukichepuka na Biblia utasoma Bibliology, Hebrew, Greek, Hermeneutics, Latin, Semantics, Church history, history of Israel, wisdom Literature, Prophetic Literature n.k. Utasoma jinsi Biblia ilivyopatikana; waandishi wake 40 (wavuvi, wafalme, maliwali, manabii, mitume, daktari, mtoza ushuru, waamuzi, wasomi wa Kiyahudi;) muda wa kuandikwa kwake (Miaka 1500); mazingira yalipoandikwa maandiko hayo -(Jangwani, gerezani, jumbani kwa mfalme, uhamishoni, ). Sifa za kitabu kuwa kitakatifu yaani kanuni utasoma pia. Agano Jipya kitabu kilipaswa kuandikwa na mwanafunzi wa Yesu ama aliyeishi kipindi cha Yesu. Kilikuwa kinatumiwa na kanisa la kwanza, kilikuwa na uvuvio wa Mungu na kilikuwa kinalijenga kanisa.
 
Biblia neno LA kigiriki biblos aka vitabu, sasa hivyo tu ndio nini? Kitabu cha wayahudi kinaitwa Talmudic, hawamuamini yesu kamwe.....nyie mmeribwa na nini?

Hapana! Ilikuwepo Hebrew Old Testament ama TNKH au Tanakh. Vitabu 24 iliyoundwa na Torati, Waandishi na Manabii. Talmud (ikiwemo Babylonian Talmud) ni tafsiri za sheria ya Musa ya baadaye. Hapa vipo vitabu vya Mishna na Gemara. Wewe ukisema Ta Biblia ama Biblos wao wanasema ketub ama Ketubiim. Tafsiri hizi zilikuja baada ya Maanguko ya ibada za Hekaluni na kuporomoka umaarufu wa wadhifa wa Kuhani. Ikainuka Sinagogi na ofisi ya waandishi na watafsiri wa Sheria kama nguzo ya dini ya Kiyahudi.
 
Dead sea scrolls, kaburi LA yesu, sanda ya Yesu, na mengine mengi wote uwongo, forgeries, tunajua, na endeleeni na fraud yenu kugeuza uongo kuwa kweli.....
Umefika Khirbet Qumran karibu na Dead Sea kuona asili na palipopatikana magombo ya Chuo Mwaka 1947 na Mwarabu Mwislamu, kijana mdogo Mohammed Adh Din? Hivi humu JF watu hupinga tu? Msomi gani wa dini asiyejua juu the Dead Sea Scrolls hapa duniani? Hata Raymond Drake amesema sana juu ya Dead Sea Srolls. Nadhani basdhi ya Magombo hayo yapo katika Makumbusho makubwa duniani. Mimi sikusema juu ya Sanda ya Yesu.
 
Samahani naomba kukuuliza mbona mna agano la kale na Agano jipya?kuna nini kilichofanyika wakati Quran haibadiliki na ukigundulika umebadili hata neno moja watu wanakuchinja
Kwa taarifa yako Kurani iliyopo siyo ile original. Original ilipotea ikaandikwa nyingine. Muulize msomi mzuri wa Kiislamu atakwambia. Agano la Kale - Uumbaji hadi uhamisho (Umedi na Uajemi)
Agano Jipya - Toka Yesu kuzaliwa hadi Yesu Kurudi tena.
 
Ilipotelea wapi na hiyo mpya aliiandika na nani?..ungeijua Quran ilivyopangwa na mambo mazito yakizungumzwa kisayansi ambayo dunia ya leo ndio inavimbua leo hakuna mwanadamu wa zama hizo angeweza kuindika na kuipangilia katafute kitabu kinaitwa Kopyuta yachambua muujiza wa Quran yaan mpangilio wa namba maprofesa wa chuo kikuu corrolad walipo iona hiyo wakasema it will take life time to write just one page.

Amesema Allah " This is our book and will protect it against any curruption.!

Muhhamad aliteua waadinsh 12 wa kuandika Quran wakati anawqsomea akikshushiwa ufunuo au wahyi lakin hakuzuia watu wengine kurecord ila wale 12 ndio aliwateua na alikuwa aki double check nao mmoja wao alikuwepo msomi Uthuman bin khafan na Yazid ambae ali hifadhi Quran yote had nukta kuliko mtu yoyote kipind cha mtume sababu na yeye alikuwa muandishi

Wakati wa uongozi wa uthuman alioppenda yemen alikuta kuna record za Quran ambazo zimekosewa baadhi ya matamshi sio Quran tofauti ni hii na wale walikuwa wanajiandikia na mtume hakuwa ana double check nao, ndipo Uthaman ikibadi arud awaite wale waandishi wakati huo walikuwa wamebaki 6 akiwemo Yazid wakaiandika Quran upya kwenye ngozi na Uthaman akaagiza watu wote wenye record za quran kwa vile bado hakukuwa na record nyingi akaagiza zichimwe zote iwe ina makosa au haina makosa..watu wote walitakiwa waende ku copy katika ile original copy ambayo ipo had leo kwenye Museum ya Uturuki na ukiangalia ile na yunayotumia had sasa hazina tofauti.!

Sema walio amua kuwapotosha wakawaambia imeandikwa nyingine hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kuandika Quran huwez kunielewa kama hujaisoma na kujua miujiza yake Quran ni muujiza unao ishi vyuo vikuu vikubwa unavyo vijua sasa vimewekeza kwenye utafiti wa Quran neno kwa neno!
 
Msingi wa propaganda za wa missionary kwa africa dhid ya uislam ulimlenga Muhhamad kwasababu iman ya ukristo imeagamia kwa Yesu kristo sasa kwa sababu wanajua Quran na mafundisho yake ili kuwaziba macho waliikija na aprroach ya kuhakikisha wanamchafua mtume Muhhamad ili akishachafuka yeye hana sababu ya kufuatwa sababu mmeshasema alikuwa ni mbakaji,mzinzi na muuwaji na pili wakalenga iman za kishirikina na kuzihusinisha na uislam bila hata kujua elimu ya mambo yasionekan wakristo wengi wanaamin kil muislam ana majini na watumish wenu wametembea kwenye mitaala hiyo had leo wanahibiri majini,utajiri na uchafu wa kutunga wa muhhamad...lengo lao lilifanikiwa.ila ukiamua kujielimisha kidogo tu kutafuta vyanzo sahihi utaujua ukweli..ukienda ulaya wanuchafua uislm kwenye ugaid na kumkandamiza mwanamke hawalet mitaala ya kumkandamiza mwanamke africa sababu africa tayari kabla ya uislam mwnamke anakandamizwa...ntafurahi sana ukimia kutafuta ukweli kuliko kusikiliza mafundisho ya kanisa..kila siku vitabu viwili vina andikwa dhid ya muhamad na uislam kila siku..!.lakin bado ndio din inayo enea kwa kasi america na ulaya hata ccn juz walikuwa wanazungumzia the spread of islam in america sababu inakuwa kwa asilimia kubwa sana!

Na mtume alisema ipo siku uislam utaingia kila nyumba
mkuu hii khutba ungeipeleka masgid ungeeleweka na kupewa zawadi ya takbirr kitu unachotakiwa utafakari ni hichi hicho kilicho andikwa kuhusu muhammad hakikuandikwa na maadui zake ima Wakristo ilaha ni wapenzi wake wa karibu sana nawakeze ref; kisa cha safiyah
safiya-and-muhammad-5-638.jpg
26.jpg
kisa cha akivaa chupi ya mkewe aisha ndipo wahyi unamjia chap chap
C542J3_UYAE3WRi.jpg
kumuingilia maiti
ffd3d536baf149644743b44056bab43c.jpg
.kwamba yeye si mtume wa Yehova hakumsemea mtu ilaha ni maandiko
d74c940393f8b86a555e72098c509ab7.jpg
kuna mambo mengi ambayo ambayo yanadhihirisha uovu wa abdul qathem ambayo hayakuandikwa na Wakristo imamaadui zake ilaha vipenzi wake na waumini ambao wanaitakidi yeye ni lagad kanna kwa mujibu wa tbs yao labda wewe mjuzi tuwekee humu agizo hata moja la Mungu Yehova ambalo muhammad alilifuata, kulitunza na kuliishi asante mkuu
 
Ilipotelea wapi na hiyo mpya aliiandika na nani?..ungeijua Quran ilivyopangwa na mambo mazito yakizungumzwa kisayansi ambayo dunia ya leo ndio inavimbua leo hakuna mwanadamu wa zama hizo angeweza kuindika na kuipangilia katafute kitabu kinaitwa Kopyuta yachambua muujiza wa Quran yaan mpangilio wa namba maprofesa wa chuo kikuu corrolad walipo iona hiyo wakasema it will take life time to write just one page.

Amesema Allah " This is our book and will protect it against any curruption.!

Muhhamad aliteua waadinsh 12 wa kuandika Quran wakati anawqsomea akikshushiwa ufunuo au wahyi lakin hakuzuia watu wengine kurecord ila wale 12 ndio aliwateua na alikuwa aki double check nao mmoja wao alikuwepo msomi Uthuman bin khafan na Yazid ambae ali hifadhi Quran yote had nukta kuliko mtu yoyote kipind cha mtume sababu na yeye alikuwa muandishi

Wakati wa uongozi wa uthuman alioppenda yemen alikuta kuna record za Quran ambazo zimekosewa baadhi ya matamshi sio Quran tofauti ni hii na wale walikuwa wanajiandikia na mtume hakuwa ana double check nao, ndipo Uthaman ikibadi arud awaite wale waandishi wakati huo walikuwa wamebaki 6 akiwemo Yazid wakaiandika Quran upya kwenye ngozi na Uthaman akaagiza watu wote wenye record za quran kwa vile bado hakukuwa na record nyingi akaagiza zichimwe zote iwe ina makosa au haina makosa..watu wote walitakiwa waende ku copy katika ile original copy ambayo ipo had leo kwenye Museum ya Uturuki na ukiangalia ile na yunayotumia had sasa hazina tofauti.!

Sema walio amua kuwapotosha wakawaambia imeandikwa nyingine hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kuandika Quran huwez kunielewa kama hujaisoma na kujua miujiza yake Quran ni muujiza unao ishi vyuo vikuu vikubwa unavyo vijua sasa vimewekeza kwenye utafiti wa Quran neno kwa neno!

sawa hapa hoja ya msingi hii furqan ni kauli ya nani? nauliza kihivyo kwa sababu hakuna alicho sahau Mwenyezi Mungu hadi amtume muhammad ibn abd allah na mafundisho dhaifu na yaliyo expire
 
Nataka utoe ushahidi WA hao waliofanya hizo Project hizo majina yao. Ukiwa hujafanya research huna haki ya kusema. Tqfadhali chunga mdomo wako kama huna la kusema. Hebu wewe fanya project moja tu ya kuandika hata Aya moja inayofanana na aya katika Qur'ani takatifu ili uweze Ku prove unachokisema.
 
Umefika Khirbet Qumran karibu na Dead Sea kuona asili na palipopatikana magombo ya Chuo Mwaka 1947 na Mwarabu Mwislamu, kijana mdogo Mohammed Adh Din? Hivi humu JF watu hupinga tu? Msomi gani wa dini asiyejua juu the Dead Sea Scrolls hapa duniani? Hata Raymond Drake amesema sana juu ya Dead Sea Srolls. Nadhani basdhi ya Magombo hayo yapo katika Makumbusho makubwa duniani. Mimi sikusema juu ya Sanda ya Yesu.
Waongo, the master forgeries
 
Vitu vingi duniani vimewekewa viwango na wanadamu hao hao. Sheria zetu, mifumo ya serikali na tawala zingine, utawala, elimu na madaraja yake, itifaki za tiba za magonjwa, na mengine mengi duniani. Hata dini pia. Kwa mfano unaweza kusoma dini kwa kusoma somo la Phenomenology of Religion. Hapo ukaelewa dini kwa kina na kwa rejea ukateua dini chache ukazisoma kwa mfumo huo. Suala la Maandiko ya Biblia linaangukia somo la Sacred literature yaani maandiko matakatifu na unasoma kwa kina eneo hilo. Biblia (Christianity), Koran (Islam) Bhagavad Gita (Hindu), Granth Sahib ( Sikh), Book of History (Kung Fu Tze). Ukichepuka na Biblia utasoma Bibliology, Hebrew, Greek, Hermeneutics, Latin, Semantics, Church history, history of Israel, wisdom Literature, Prophetic Literature n.k. Utasoma jinsi Biblia ilivyopatikana; waandishi wake 40 (wavuvi, wafalme, maliwali, manabii, mitume, daktari, mtoza ushuru, waamuzi, wasomi wa Kiyahudi;) muda wa kuandikwa kwake (Miaka 1500); mazingira yalipoandikwa maandiko hayo -(Jangwani, gerezani, jumbani kwa mfalme, uhamishoni, ). Sifa za kitabu kuwa kitakatifu yaani kanuni utasoma pia. Agano Jipya kitabu kilipaswa kuandikwa na mwanafunzi wa Yesu ama aliyeishi kipindi cha Yesu. Kilikuwa kinatumiwa na kanisa la kwanza, kilikuwa na uvuvio wa Mungu na kilikuwa kinalijenga kanisa.
Haya sasa tutakwenda vizuri, sibishi kishabiki
Asante
 
Nataka utoe ushahidi WA hao waliofanya hizo Project hizo majina yao. Ukiwa hujafanya research huna haki ya kusema. Tqfadhali chunga mdomo wako kama huna la kusema. Hebu wewe fanya project moja tu ya kuandika hata Aya moja inayofanana na aya katika Qur'ani takatifu ili uweze Ku prove unachokisema.
usikariri kilicho andikwa hebu wewe tuwekee jipya hata moja ambalo limo ndani ya furqan kile kitab ni stori za vijiwe vya ghahawa pale mecca na madina baina ya Mayahudi na Wakristo, muhammad aka-copy na kuwatupia
 
Hebu nenda kasome chuo cha kiislamu ndo utajua hii Quran ilitoka kwa mungu au hapo utapata jibu lako kifupi Quran Mambo yajayo na mengi yametokea
 
Hapana! Ilikuwepo Hebrew Old Testament ama TNKH au Tanakh. Vitabu 24 iliyoundwa na Torati, Waandishi na Manabii. Talmud (ikiwemo Babylonian Talmud) ni tafsiri za sheria ya Musa ya baadaye. Hapa vipo vitabu vya Mishna na Gemara. Wewe ukisema Ta Biblia ama Biblos wao wanasema ketub ama Ketubiim. Tafsiri hizi zilikuja baada ya Maanguko ya ibada za Hekaluni na kuporomoka umaarufu wa wadhifa wa Kuhani. Ikainuka Sinagogi na ofisi ya waandishi na watafsiri wa Sheria kama nguzo ya dini ya Kiyahudi.

Je! Kweli unafikiri yote yalianza na mchungaji mwema wa Kiyahudi, akizunguka Palestina ya karne ya kwanza? Jitayarishe kushangazwa. Yesu - Rafiki wa Kufikirika na ngano yake, kristo ilikuwa ni bidhaa mseto na propaganda tu ya kidini katika ulimwengu wa kale. Kuibuka kwake si chochote kuhusu muumbaji mtakatifu wala Uungu, bali muendelezo wa uongo wa wayahudi kuanzia Musa....!!!! Kulikuwa na Yesu wengi lakini ngano ilikuwa ni tengenezo la propaganda ya kitamaduni. Eti kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Nasaba za Yesu, toleo la Mathayo na Luka, ni uongo wa uongo uliokubuhu. Nazareti haikuwepo katika karne ya 1 AD - eneo hilo lilikuwa ni mashimo ya mazishi/makaburi. Pamoja na waandishi wengi nyuma ya hadithi ya injili ya awali si ajabu kwamba takwimu ya "Yesu" ni rundo la fujo la utata. Hata hivyo hadithi hiyo inavutia sana kwa "Mkristo mzuri" inaweza kumaanisha chochote. Wanafunzi 12 ni kama uwongo kama bwana wao, alijitambulisha kuhalalisha madai ya makanisa ya mwanzo. Maria wa awali mwigo wa socrates na wafuasi wake...hakuwa ni bikira, wazo hilo lilikopwa kutoka kwa wazimu wa kipagani. Paulo akimwigiza Plato. Ugiriki ya ki stoiki na kipagani ilijua yote kuhusu wajane wanaotengeneza mimba kwa miungu ya staarabu za kale, Mythical "Virgin Mama". Wasomi wamefahamu yote haya kwa zaidi ya miaka 200 lakini uongozi na ukuhani taasisi ya dini ni biashara yenye faida sana na hufadhili sekta ya uongo ili kuweka show kwenye barabara. "Hivi ni Yesu aliandikwa zaidi kuliko takwimu yoyote ya kale"? Usiamini neno lake. Tofauti na Yesu wa kihistoria, takwimu halisi ya kihistoria kama ya Julius Kaisari ina umati wa ushahidi wa pamoja. Kesi ya Yesu ya kihistori ama tengenezo la Yesu?????!!!!. Mapitio ya Kitabu: Ehrman - Yesu yupo? - Eti Mungu alizaliwa na bikira wa kiyahudi!!!!!!! Watu bado wanaamini ngano hii ya uongo!!!??!!!!! Angalia vizuri Uzazi wa Superhero Intuitively kuridhisha kufikiri kwa kujenga taswira ndio ujanja bingwa wa myahudi, mwongo sana anadanganya dunia mpakaleo, huku akiiangamiza pia. kwamba mtu alikuwa nyuma ya hadithi legends za Yesu ni uongo. Lakini kama ibada ya Horus au Mithras maisha ya mwanadamu hayakuwa muhimu wala hayafai. Kama inatokea, tuna ushahidi bora kwa matukio ya Yudea katika nusu ya kwanza ya karne ya kwanza AD: Philo wa Alexandria (c. 25 BC-47 AD). Hata hivyo, Philo hakusema neno juu ya Yesu au Ukristo! Hakuna katika 'ujumbe wa Kikristo' ulikuwa wa awali. Upendo wa kiroho na huruma zilifundishwa na Wasitoiki kwa karne nyingi. Imani ya Kikristo ilikuwa ni upagani uliochafuliwa, ukawekwa kwenye kichwa cha manabii wa Kiyahudi na kukosa mashiko ya historian na ngano za kidini. Makundi ya Kikristo ya mapema yaliwashambulia kwa nguvu kama walipigana na wapagani. palestina ya karne ya kwanza ilikuwa na rabi, radicals na waasi kwa wingi. Lakini 'uhai wa ngano hii' ulijitokeza toka fantasy za uongo, ngano zilizokopwa, vipengele vya hadithi na nakala ya uvumilivu wa kujitegemea, si ukweli wa kihistoria. Ushindi wa mwisho wa utawala wa Kiyahudi wa kivita na ukatili wa ufalme wa Kiyahudi uliwapa makanisa ya Kikristo ya kuhamasisha uongo huu angalia kwa karibu juu ya kukubaliana kwamba hadithi ya Yesu "imetoka haraka na kuenea kwa haraka." Wakristo wa Mapema waliamini nini? Hakujawahi kuwa Ukristo mmoja tu. Katikati ya uaminifu ambao uliathiri ulimwengu wa Kirumi, kadhaa yaJe! Kweli unafikiri yote yalianza na mtumishi wa ajabu wa Kiyahudi, akizunguka kuhusu Palestina ya karne ya kwanza? Jitayarishe kuangazwa. Yesu - Rafiki wa Kufikiri Ukristo ilikuwa ni bidhaa kuu ya syncretism ya kidini katika ulimwengu wa kale. Kuibuka kwake hakulipa chochote kwa muumbaji mtakatifu. Kulikuwa na Yesu nyingi lakini fable ilikuwa ni kujenga kitamaduni. Uzazi wa kuzaliwa ni wa uongo. Nasaba za Yesu, toleo la Mathayo na Luka, ni uongo wa uongo. Nazareti haikuwepo katika karne ya 1 AD - eneo hilo lilikuwa ni maziko ya mazishi ya makaburi. Pamoja na waandishi wengi nyuma ya hadithi ya injili ya awali si ajabu kwamba takwimu ya "Yesu" ni fujo la utata. Hata hivyo hadithi hiyo inavutia sana kuwa "Mkristo mzuri" inaweza kumaanisha chochote. Wanafunzi 12 ni kama uwongo kama bwana wao, alijitambulisha kuhalalisha madai ya makanisa ya mwanzo. Maria wa awali hakuwa ni bikira, wazo hilo lilikopwa kutoka kwa wazimu wa kipagani. Ulimwengu wa kipagani ulijua wote kuhusu wajane wanaotengeneza mimba kwa miungu ya randy: Mythical "Virgin Mama". Wasomi wamefahamu yote haya kwa zaidi ya miaka 200 lakini uongozi wa kuhani ni biashara yenye faida sana na hufadhili sekta ya uongo ili kuweka show kwenye barabara. "Yesu aliandika zaidi kuliko takwimu yoyote ya kale"? Usiamini neno lake. Tofauti na Yesu wa kihistoria, takwimu halisi ya kihistoria kama Julius Kaisari ina umati wa ushahidi wa pamoja. Kesi ya Yesu ya kihistoria - Kuweka Yesu. Mapitio ya Kitabu: Ehrman - Yesu Alipo? Msomi maarufu hupona kutoka shimoni. Ujumbe wa uokoaji kwa "Yesu wa historia" - Waandishi wa Habari Mpya Bado wanashikilia wazo kwamba aina fulani ya mtu mtakatifu iko nyuma ya hadithi? Angalia vizuri Mwaminifu - Uzazi wa Superhero Intuitively kuridhisha kufikiri kwamba mtu alikuwa nyuma ya hadithi legend. Lakini kama ibada ya Horus au Mithras maisha ya mwanadamu haikuwa muhimu wala haifai. Kama inatokea, tuna ushahidi bora kwa matukio ya Yudea katika nusu ya kwanza ya karne ya kwanza AD: Philo wa Alexandria (c. 25 BC-47 AD). Hata hivyo, Philo hakusema neno juu ya Yesu au Ukristo! Hakuna katika 'ujumbe wa Kikristo' ulikuwa wa awali. Upendo wa kiroho na huruma zilifundishwa na Wasitoiki kwa karne nyingi. Imani ya Kikristo ilikuwa ni kipagani kilichochafuliwa, kilichowekwa kwenye kichwa cha manabii wa Kiyahudi na kilichokosa kwa kushikamana kwa kidini. Makundi ya Kikristo ya mapema yaliwashambulia kwa nguvu kama walipigana na wapagani. Kipalestina ya karne ya kwanza ilikuwa na rabi, radicals na waasi kwa wingi. Lakini 'uhai' wa uongo huu ulijitokeza fantasy ya uongo, umati wa vikwazo zilizokopwa, vipengele vya hadithi na nakala ya uvumilivu wa kujitegeme si ukweli wa kihistoria. Ushindi wa mwisho wa utawala wa Kiyahudi wa kivita na ukatili wa ufalme wa Kiyahudi uliwapa makanisa ya Kikristo ya kuhamasisha na kukuza ngano hii
Kenneth Humphreys
 
Wewe ndo unajicontradict biblia haijawahi kujicontradict, kama hujui omba sisi tunaojua tukufundishe.
Imeji contradict. Wewe ndio hujui. Mwenzio amekupa mistari lakini wewe umeongea mabeno matupu. Toa mistari na wewe uoneshe haijajicontradict. Mbona kule kwenye kitabu cha mwanzo Mungu anasema kila kiendacho ni halali kuliwa wakati tunajua vitu viendavyo kimojawapo ni jongoo. Mbona haliwi?
 
Back
Top Bottom