Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

Kwa nini mungu Mwenye upendo Mwenye kuwapenda watu wake afanye mambo ya siri yasio wape yaani ya mafumbo? Hiyo ni kweli!!
 
Mara Mnasingizia shetani, mara mnangojea masihi arudi, lakini hatorudi kwani ni uongo hakuwepo,hakuzaliwa, hakuishi, hakufa, hakufufuka, anarudi vipi??????
fantasia kibaya zaidi mambo haya ni zaidi ya unavyofikilia...unajipotosha mwenyewe...historia na uchunguzi wa kisayansi wamefanikiwa hadi kupata nyaraka za kale kuhusu bible....maeneo pia yapo hadi leo mfano babeli, pia kisa cha wana wa isslael kuvuka bahari ya sham kwa miguu ipo wazi kabisaa kwani farao aliyejaribu kuwafuata kama bible inavyosema na kuangamizwa baada ya Mungu kuyaruhusu maji yarudi umepatikana na ulikutwa na mchanga wa bahari tumboni ikumbukwe wa misri walikua na tamaduni ya kuhifadhi miili ya wafalme.. Yesu alikuja na akafa pia kufufuka na ndio maana ukilitaja jina lake mapepo yanakimbia hujiulizi tu...mbona mifano ipo dhahiri,,,, hujiuliz n kwa nn pia miaka huitwa mfano 2000BC Haushituki tuu....CHAV KUKUSAIDIA AMUA KUISHI MAISHA MATAKATIFU NA UAMINI YUPO ZEN UONE ATAKAVYO JIDHIHIRISHA KWAKO..MIMI NMEMUONA NA KAJIDHIHIRISHA KWANGU XO SIONI HASARA... NA JEHANAM IPO NA YESU ATAKUJA AMINI USIAMINI...USIPO WAAMINI WAHUBIRI NA KUPOTEA KTK UJUZI WAKO NA ELIMU YAKO UTAANGAMIZA ROHO YAKO ...MAMBO HAYA YA KIMUNGU HAYAKO KATIKA UJUZI NA HEKIMA ZA KIBINADAM BALI NI KTK ULIMWENGU MWINGINE WA ROHO NA NDO MAANA UKIENDA KIMWILI UTAONA NI UPUUZII TU...NA KUHAKIKISHIA YESU YUPO NA SIKU MOJA UTAPIGA MAGOTI MBELE YAKE NA HAUTAPINGA KM YESU YUPO... ISSLAELI IMEANDIKWA KWENYE BIBLE KUWA ITAKUA NA NGUVU SANA LAKINI ITASHINDWA ISIPOMTII MUNGU,, LEO HII WEWE NI SHAIDI KUWA ISSLAEL HAISHINDWI NA NCHI YOYOTE ILE KWA HAKILI NA TECNOLOGIA ,,NA MWAKA 1967 WALIPIGANA VITA YA SIKU 6 WAKASHINDa kiajabu i mean kimuujiza tu...kuna ushahid mwingi bible ndio kweli kwani imetabiri mambo ya mwisho tunayoyaona...hivyo basi ni bora ukaamini tu uokoe nafsi yako kwani hata kama yesu au mungu akisema aje leo hutamwamini...
 
Mara Mnasingizia shetani, mara mnangojea masihi arudi, lakini hatorudi kwani ni uongo hakuwepo,hakuzaliwa, hakuishi, hakufa, hakufufuka, anarudi vipi??????

Ushahidi gani zaidi mnataka, kila kitu kinajulikana biblia ni ngano za wayahudi
Hujui wewe ndugu.....
kubali usaidiwe rafiki...yesu yupo na kajidhihirisha kwetu...mambo haya ni kuamini na kuishi maisha matakatifu ndo unaujhua ukweli,,,sisi sio eti ni vichaa tunao uhakika...wanahistoria flani walipochimba maeneo flani yaliyomo kwenye bible walifanikiwa kupata hata nyaraka zilizo kwenye bible...maeneo mengi yanayotajwa kwenye bible yapo hadi leo mfano babiloni ya nebchadnezer...
 
Umeishia hapo tu kufikiri!! duh jaribu kuwaza hivi ulishawahi kufikiri kwamba ni nini kilichomfanya mungu kutengeneza dhambi kisha akaamuru watu wasifanye dhambi nini lengo lake kuitengeneza dhambi.
 
Sijaona ubishi wowote zaidi ya hoja thabiti
 
Umeishia hapo tu kufikiri!! duh jaribu kuwaza hivi ulishawahi kufikiri kwamba ni nini kilichomfanya mungu kutengeneza dhambi kisha akaamuru watu wasifanye dhambi nini lengo lake kuitengeneza dhambi.
Nyaraka gani, watu wamegushi historia kuficha uwongo wa kidini, stories nyiiingii no evidence
 
God has nothing's to with the Bible and Quran....Wala si mtunzi wake. Wala hakuwaagiza watunge
 
Lete ushahidi
 
SI mchezo, muyahudi huyo Mungu wenu????????!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…