naficha siri kuna mtu jf kajitokeza

naficha siri kuna mtu jf kajitokeza

Binti wa kibongo huyo. wengi wako hivi. hakuna kutumia akili wala kujibidiisha, wanasubiri mibaba, iwalee.
Halafu huyu ndio wale fellowship maombi kwa sanaa.
Nenda karingishie type zako kule Bar au Night club, humu ni watu na akili zao.
Yaani katika enzi hizi za Kompyuta bado kuna mijinga hii.
Halafu mnalaumu serikali?
Unanihukumu bila kosa
 
Mmh jane umekuja kwa speed kali sana binti, utapotea kama vumbi kwenye upepo mkarii..
 
Akili zingine tope tupu, hivi wanawake ni kweli mmerogwa?! Yaani mtu kakudharau kiasi cha kukufananisha na bidhaa lkn wewe umeona ni jambo la kujivunia?

Ndio maana hata mlioolewa huwa mnaona fahari kutongozwa na wanaume hata ambao wanajua kuwa mmeolewa na wenyewe mkaona ni proof kuwa mnavutia. Si kuwa mnavutia, mnadharaulika na kuonekana rahisi. Ingekuwa kinachovutia kinafuatwa, basi duka la dhahabu lingejaa watu wanaouliza bei hata kama hela hawana. Lkn hawaendi kwa kuwa wanajua dhahabu ni ya thamani na wao (wanaoitamani) wanajua fika hawana uwezo nayo.

Kutongozwa na kila mwanaume si dalili ya uzuri, ni ufanani wako na bidhaa rahisi na ndio maana kila mwenye mdomo anauliza bei.
Yanakouzwa ma Range Rover hamna msongamano bwana, acheni kujidanganya. Mwanaume akikutongoza angali akijua una mume ujue kakudharau. Ukishaliwa bei yako ndio inazidi kushuka, endeleeni kujifanya dust bin za jiji, kila mwenye taka anatupia humo. Amen!
 
Ukishaliwa bei yako ndio inazidi kushuka, endeleeni kujifanya dust bin za jiji, kila mwenye taka anatupia humo. Amen!

mmh, mkuu hapa umeongea kwa hisia kali sana na natumaini umesomeka... duh, kwa hiyo kila anayesumbuliwa na kimzigo chake anatafuta sehemu ya ku-dispose cheaply teh teh teh
 
mtu mwenyewe ni mimi na wala msimtafute mchawi..binti ni mtamu kinoma nimeshammega kanipa limbwata nadhani
 
kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana

...dahhh, kuna miandiko mingine ina "kibesi" kama cha mwanaume vile...
anyway, ni mtazamo wangu tu..j'2 njema.
 
Subiri ukabidhiwe ndo ushuhudie Jane,hongera kwa figa ya kupagawawisha uliyoona uitumie kupata mali....kila la kheri,usiuze utu wako!

yaani amesha jidhalilisha. utu wake ni sawa au upo chini ya nyumba na V8, aidha utu wake ni wa chini ukilinganisha na wa huyo mwanaume. Jane anajenga mahusiano na nyumba na V8 na siyo huyo mwanaume, kwani akisha pewa nyumba na v8 halafu mwanaume akaenda bibi mwingine Jane hatalalamika, hataumia kwani tayari anachokipenda ( nyumba na V8) anacho
 

...dahhh, kuna miandiko mingine ina "kibesi" kama cha mwanaume vile...
anyway, ni mtazamo wangu tu..j'2 njema.

sijui our buddy cholo kapotelea wapi siku hizi... asije akawa ni transgender!
 
Back
Top Bottom