naficha siri kuna mtu jf kajitokeza

naficha siri kuna mtu jf kajitokeza

siwezi ongea sana mulize ngosho au badili wamechemka hawana hela
 
siwezi ongea sana mulize ngosho au badili wamechemka hawana hela

Napenda unavyo jiamini, lakini nini thamani yako na nini kinafanya uwe na thamani hiyo? Ebu fafanua kidogo ili tuone kama hizo laki moja, milioni moja n.k ni worth it. kama hauwezi zungumza hapa, PM me.
 
We cholo acha kusumbua watu nenda kacheze na wenzako kombolela.
 
Subiri ukabidhiwe ndo ushuhudie Jane,hongera kwa figa ya kupagawawisha uliyoona uitumie kupata mali....kila la kheri,usiuze utu wako!

Kweli kabisa Michelle....instead of following where your heart leads, kuna watu wanafuata where VITZ is bila aibu. Halafu baada ya siku mbili anaanza kusema jamaa hanifikishi nakotaka kwenda. Mhhhhh
 
kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana

Unajisifia figa ukute mimaji mi2pu.
MAPROSOO.
 
huna jipya wewe....utaishia hivyo hivyo kuwaza kuhongwa baada ya kutafuta vyako vyenye uhakika wanawake wengine bada ujinga mtupu
 
Kwa mtindo huo ww utakuwa wa kukaa bondeni tu kamwe usitarajie kupanda mlima hata cm 1 hivyo vilele unavovitaman utaishia kusikia tu ni mwanaume bushoke atakaye amua kufuga kunguru!. Nilidhan wamaana ulipolilia kufika kileleni kumbe muuzaji tena mwandamizi!.
 
Unajisifia figa ukute mimaji mi2pu.
MAPROSOO.
mkulu naona tumshauri ngereja ainvest kwa watu kama hao wapelekwe mtera, itatuondolea kero ya mgao wa umeme kipindi cha kiangazi, vinginevyo tutarajie mafuriko tu, na mabwe pande pamejaa!
 
So your figure worth the house and v8? What about your dignity?
 
kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana

Nimegundua wewe ni changu unaetangazia soko lako JF,humpati mtu hapa nenda facebook.
 
nahis wrong way....taxxxxxii pss psss
 
Binti wa kibongo huyo. wengi wako hivi. hakuna kutumia akili wala kujibidiisha, wanasubiri mibaba, iwalee.
Halafu huyu ndio wale fellowship maombi kwa sanaa.
Nenda karingishie type zako kule Bar au Night club, humu ni watu na akili zao.
Yaani katika enzi hizi za Kompyuta bado kuna mijinga hii.
Halafu mnalaumu serikali?
 
Back
Top Bottom