Nafasi za wajasiriamali zinahitajika

amigooo

Senior Member
Jun 30, 2012
115
18
Nafasi muhimu kwa ajili ya mjasiriamali zipo
Tunafanya Business na kampuni kubwa duniani ambayo ina matawi mengi sana na kwa Tanzania yapo matawi matano.
Aina ya Business: Multilevel Business
Sifa:
Mtu yeyote mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 mwenye kupenda yafuatayo:
1.Kipato cha ziada
2.Uhuru wa kifedha
3.Kuwa na biashara yako mwenyewe
4.Kujiendeleza
5.Kusaidia wengine
6.Kukutana na watu wapya
7.Kutopata shida baada ya kustaafu/kushindwa kufanya kazi
8.Likizo
Elimu: Kuanzia kidato cha 4 na kuendelea
NB:Usikubali kukaa na kulalamika kuwa maisha hayaendi bali fursa zipo zitumie kwa wakati
Mwisho wa tangazo: 3rd September 2012
Kwa mawasilaino zaidi tuandikie healthwealthfirst@gmail.com Cell:0713889162
 
Mkuu hebu weka wazi!mnajihusisha na nini?isijekuwa yalemambo ya kubebeshana mabeseni umachinga!na swaumu hii jua kali..
 
Hio ni Network marketing kama uko tayari muone jamaa kwa biashara,ila inahitaji moyo sana kuifanya hio biashara ni ngum sana,kwan bidhaa zake ni ghali mno pindi unapotaka kuziuza.......!
 
wat multilevel business is??

multilevel marketing businesses. here a business recruits individuals to sell its products or services for a cut of their profits. These individuals, in turn, recruit others to do the something, also for a cut of their profits. The process usually continues, in a pyramidal fashion, for 4 to 10 levels, with higher-level individuals earning more money as the lower levels fill with new recruits.

 
me nshawah kufanya hizo kaz, ni ngumu asikwambie m2, coz bidhaa zao ni ghali kias cha kukufanya ukose wateja, na hal ya wa2 weng tz si ya kumshawish m2 aache kununua ma2mitiz muhimu anunue hizo product, yan lazima zikudodee.
 
Ujasiriamali unahusika sana hasa kwa mpenda mafanikio katika maisha. Nitakucheki mkuu niweze kuelewa namna kazi inavyofanyika

Rgds,
 
Acha kuwadanganya watu, wewe ni mtu mmoja unatumia ID mbili tofauti! Nimeona post yako kwenye uzi mwingine na email address uliyotumia ni hiyohiyo iliyotumika hapo juu.
Ujasiriamali unahusika sana hasa kwa mpenda mafanikio katika maisha. Nitakucheki mkuu niweze kuelewa namna kazi inavyofanyika

Rgds,
 
Pyramid scheme, wanatajirika wao tu, wewe unadoda na bidhaa zako ambazo hazina market.
 
Huu ni usanii mkubwa sana, Halafu hii ishu ya kusema KAMPUNI KUBWA YA KIMTAIFA, kampuni kubwa zinajulikana na kila mtu,

Hiyo biashara ni biashara kichaa, Ukifika Ofisini kwao kwa mara ya kwanza watakupiga shule ya KUFA MTU, halafu watakuwekea DVD za kutunga za watu waliofanikiwa, utaona mtu alikuwa FUNDI VIATU NA SASA ANAMILIKI V8, ila hiszo story zote ni za kutunga ili kuvutia watu, hakuna kitu hapo
 
Back
Top Bottom