Nafasi za TANAPA, mbona kimya?

cha1509

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
258
402
habar wadu, imekuwa muda kimtindo wakati umepita tangu nafasi za TANAPA, walizotangaza mwez uliopita, lakini cha ajabu hakuna cha shortlist iliyotoka, au Mr. JIWE, kazibania tena?

mrejesho mwenye kujua tafadhali.
 
Soon tutawaita
 
Back
Top Bottom