Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

Naomba atakayeskia tetec katika vyuo vifuatavyo kua kuna form za diploma in nursing aniambie , cuhas , muhas ,udom ,kcmc na vyuo vingine vya afya ,,.for the year of 2014!
 
Mimi nashindwa kuelewa kama mtu una phy E,chem D,biology D,english D,geog D,civics D,kiswahil D,history E,math F, Hapo inakuaje? manake kunachuo nimetuma maombi wameniambia physics kupata E ni fail sasa aliye pata F inakuaje? jamani?
 
Kwa viwango vipya;
'E' ni 'unsatisfactory'
 
Back
Top Bottom