probaraka
Member
- Jul 8, 2017
- 15
- 1
Naomba kuuliza kwa nafasi za kujiunga na jeshi la taifa yaan Uwanajeshi na siyo uaskari huchukua wahitimu wa kidato cha nne(form4) au kidato cha sita(form6) pekee au wote kwa ujumla......??
Kwani kuna uvumi kwamba ni kwa wahitimu wa kidato cha sita(form6) tu hupata nafasi hizo...!!
Hivyo naomba kufahamishwa kwa anayefahamu kwani ni moja ya ndoto zangu.Ahsanteh[emoji120]