Kabisa
Posho mbona hawakutaja,ama posho yenyewe ya mbuzi
Mh,,,Ndo ukifika utaambia buju tano kwa xku unasugua guu sa kumi na moja asubuh adi sa kumi jion
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah.....sifa zote ninazo..ngoja nikachukue kazi ....
Sent using Beretta ARX 160
wajatoa bado mkuu...Www.Dart.Go.TzHiv hawa dart majina ya waliopata kazi tunayapataje maana hawatumi sms wala hawapigi cm na cjui wanabandika kwa websit yao nako sionagi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadharau huku na wewe unaziwinda