Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,661
- 3,303
Kwa sasa pale Kivukoni dar kuna smart card zinatumika. Uwe na gari au wakutembea kwa miguu hauvuki bila kuwa na smart card.
Sasa hawa Dart wa mwendokasi nao wanataka kutoka smart card zao tofauti na hizo zinazotumiwa hapo kwenye kivuko.
Kwa maana ingine iwapo lengo hilo likitimia mtu anayetoka Kigamboni atavuka feri na smart card ya kivuko na akienda kupanda mwendokasi atalazimika kuwa na smart card ingine kwa ajili ya mwendokasi!.
Huu ni usumbufu kwa wananchi na ni matumizi mabaya sana ya pesa ambazo zingeweza kusaidia maeneo mengine.
Ni kama vile watu hawa wanatumikia Serikali mbili tofauti. Hii haiwezekani kufanyika bila ufisadi.
Hapa hamna haja ya Dart kuzalisha smart card zao mpya. Hawa Dart waunganishe mifumo yao na hao wenzao wa pale feri ili watu waendelee kutumia hizo smart card zinazotumika pale kivukoni.