Barabara ya mwendokasi Mbagala imeshakamilika ila DARTS ndio hawana basi za kuanzisha ruti za Mbagala

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,266
Kwa sasa barabara ya Mwendokasi Mbagala imeshakamilika kwa 100% na mkandarasi wa barabara hiyo ameshaondoa mitambo yake ya ujenzi ila DARTS ndio hawana basi za kuanzisha ruti za Mbagala!

Hii nchi ina vituko sana!
 
Back
Top Bottom