Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02)
Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania
Majukumu:
Mahitaji:
Tuma maombi yako kupitia WhatsApp no: +255785171820
Mwisho wa kupokea maombi: 12 May 2025
Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024.
Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania
Majukumu:
- Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi.
- Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani.
- Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu.
- Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi wa vifaa na zana za kazi.
- Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na hizi.
Mahitaji:
- Uzoefu wa kutunza bustani angalau mwaka mmoja.
- Maarifa na ujuzi wa kilimo cha bustani.
- Maarifa ya matumizi mashine za kutunza bustani.
Tuma maombi yako kupitia WhatsApp no: +255785171820
Mwisho wa kupokea maombi: 12 May 2025
Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024.