Nafasi za kazi Qatar

Nafasi za kazi Qatar

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Asalaam alaikum,

Nafasi za kazi Qatar Flour Mills,(QATAR) kwa Muslim tu.

Kwa niaba ya Qatar Flour Mills napenda kuwatangazia wazanzibar wenzangu waliopo hapa Qatar au Zanzibar nafasi za kazi kwa vijana wote,Kazi za Usindikaji,Usambazaji,upakiaji na nyingine nyingi,Mshahara ni mzuri sana na pia kuna makazi ya bure kwa wafanyakazi.

Masharti ya muombaji ni pamoja na;

.Awe na umri kati ya miaka 18 na usiozidi miaka 35.

.Awe na Elimu ya Msingi na kuendelea.

.Mwaminifu na upo tayari kujituma katika kazi.
.Hizi nafasi ni kwa Wazanzibar tu na Uwe ni Muslim.

Kwa Maelezo zaidi tuma CV yako kwa;

Qatar Flour Mills Co. P.O.Box: 1444, Doha, Qatar

Email: fatma@qualityservice.com

iMETOKA KATIKA UKURASA WA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU ZANZIBAR.
link : http://www.facebook.com/UamshoJumuiyaYaMihadharaYaKiislamuZanzibar
 
Hii ingefaa ikae kwenye mtandao wa MZALENDO maana huko wazanzibar ni wengi.
 
Sasa mdau umeileta humu tuijadili au unawasaidia kutangaza hizo nafasi?

Kaka mkubwa, kusoma hujui hata picha hauoni?. Lengo langu kuweka thread hii sio kutangaza nafasi hizo za kazi. Please hebu toa maoni yako kuhusu " Hizi nafasi ni kwa Wazanzibar tu na Uwe ni Muslim."
Usinijadili mimi, jadili uzi nilio weka jamvini..

" The only excuse of being broke, is to be in jail "
 
Kwa waislamu tu? Ngoja twende mahakama ya haki za binadamu.
 
Nafasi za kazi Qatar Flour
Mills,(QATAR) kwa Muslim tu.

.Awe na Elimu ya Msingi na
kuendelea.

.Hizi nafasi ni kwa Wazanzibar tu na Uwe ni Muslim.

NYIE SI HUWA MNASEMA NAFASI ZA SERIKALI ZIMESHIKWA NA WAKRISTO!! Sasa nyie mnafanya nini hapa na Qatar..... Chuki,ubahili,ubinafsi n.k Halafu mnasema dini ya HAKI....? Labda muwadanganye hao hao wazanzibar
 
Mm naona hilo advertisement ungepeleka huko zanzbar tena misktn,hii c kaz yetu,infact n kaz za hao wazenj.
 
Ndugu zenu wa huku watanganyika mmeanza kuwabagua?
 
Aise huu ni ubaguzi mkubwa, kwanza wamebaguliwa wakristo, pili wamebaguliwa waislamu wasio wa zanzibar, kazi kwelikweli, dhambi ya ubaguzi ni mbaya, yameanza kutimia maneno ya mwalimu. Kweli mwenyezi mungu alimpa uwezo wa kuona mbali. Lala mahali pema peponi mzee mchonga.
 
Asalaam alaikum,

Nafasi za kazi Qatar Flour Mills,(QATAR) kwa Muslim tu.

Kwa niaba ya Qatar Flour Mills napenda kuwatangazia wazanzibar wenzangu waliopo hapa Qatar au Zanzibar nafasi za kazi kwa vijana wote,Kazi za Usindikaji,Usambazaji,upakiaji na nyingine nyingi,Mshahara ni mzuri sana na pia kuna makazi ya bure kwa wafanyakazi.

Masharti ya muombaji ni pamoja na;

.Awe na umri kati ya miaka 18 na usiozidi miaka 35.

.Awe na Elimu ya Msingi na kuendelea.

.Mwaminifu na upo tayari kujituma katika kazi.
.Hizi nafasi ni kwa Wazanzibar tu na Uwe ni Muslim.

Kwa Maelezo zaidi tuma CV yako kwa;

Qatar Flour Mills Co. P.O.Box: 1444, Doha, Qatar

Email: fatma@qualityservice.com

iMETOKA KATIKA UKURASA WA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU ZANZIBAR.
link : http://www.facebook.com/UamshoJumuiyaYaMihadharaYaKiislamuZanzibar

hii itakuwa ni mpango wa kutanua "hima empire" serikali yetu isiruhusu vijana kwenda huko, watakuwa brain wash ili baadae wakirudi waje wafanye fujo.
 
Basi hata hayo mahindi yatakayosagwa yatoke kwa waislamu tu tena wa Zanzibar,maake yasiwe yamelimwa na makafri yanaweza yasiwe na udhu
 
mmeanza za waislamu tu....
Mkafuata kwa wa zanzibari tu.....
mtamalizia kwa wapemba tu....au waunguja tu.....

Anyway haina uhusiano na na usafirishaji wa binadamu hii? Isije ikawa gia tu ya kula vichwa hii
 
mi ni muislam swala tano ila kiukweli sikuelewi muislam mwenzangu unamaana gani kama vijana waliomaliza la saba zanzibar wapo wengi sana ungeenda masjid ungewapata wengi sana au kwa mjumbe na serikali za mitaa,lakini sio kusema kwa waislam tu tena wazanzbar inamaana unaona sifa au unataka kutuonyesha nini?
nalisubir jibu lako kwa ham kubwa,wabillahtawfiq!!!!
 
mmmhhhh huyo sio mzima anataka kuamsha hisia za watu walio lala anatupotezea mda kudiscuss hoja yake ambayo haijeng hata kidogo zaid ya kutugombanisha kati ya waislam na wakristo.seeeeeeeee ya
 
Back
Top Bottom