Nafasi za Kazi Nchini Saudi Arabia

Nafasi za Kazi Nchini Saudi Arabia

Joined
Oct 4, 2017
Posts
26
Reaction score
11
Competitive Manpower International Limited ni wakala wa ajira za nje ya nchi,inawatangazia nafasi za ajira nchini Saudi Arabia,nafasi zilizopo ni:-
1.Salesman 50 (Drivers)
2.Salesman Assistant 50 ( Drivers)
3.Cook 5
4.Labourers/Vibarua 50
Interested Candidates wanaweza kutembelea Ofisi zetu zilizopo Magomeni-Mwembechai,Dar Es Salaam,nyuma ya mwembechai plaza,karibu na Hotel ya Itumbi
Pia wanaweza kupiga simu kwa nambari 0654 360 571,0752 564 154,0785 542 412
NB: Waombaji wote wawe na hati ya kusafiria (Passport),Umri na vigezo vingine ni kama inavyoonyesha kwenye attachment.
Karibuni.
IMG_20171025_101055_014.jpg
 
Ina maana nyie ndugu zenu wote wameajiriwa? Kwanini msiwapigie pande wakale hilo shavu.
kama zipo nafasi zingine nje ya uarabuni tutatuma maombi, kwasasa nendeni wenyewe huko arabuni
 
HAO WANAENDA KUTUMIKISHWA HUKO UARABUNI. TUMESHASIKIA MALALAMIKO MENGI SANA YA HIZI AJIRA ZA WATANZANIA HUKO UARABUNI NA INDIA. UNACHUKULIWA KWA KIGEZO CHA KWENDA KUFANYA KAZI KAMA HIZO, UNAISHIA KUFANYA KAZI ZA KITUMWA ZA NDANI NA UTUMIKISHWAJ BILA MALIPO. WANAOMBA KAZI HIZO TAKE CARE.
 
Hawa jamaa wana kupiga pesa tuu rafiki yangu alienda week mbili zilizo pita anacho kila kitu wame mwambia awape Elfu 50 ili wam sign alafu nafasi ikitokea wata mpigia simu
 
Hawa jamaa wana kupiga pesa tuu rafiki yangu alienda week mbili zilizo pita anacho kila kitu wame mwambia awape Elfu 50 ili wam sign alafu nafasi ikitokea wata mpigia simu
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
 
HAO WANAENDA KUTUMIKISHWA HUKO UARABUNI. TUMESHASIKIA MALALAMIKO MENGI SANA YA HIZI AJIRA ZA WATANZANIA HUKO UARABUNI NA INDIA. UNACHUKULIWA KWA KIGEZO CHA KWENDA KUFANYA KAZI KAMA HIZO, UNAISHIA KUFANYA KAZI ZA KITUMWA ZA NDANI NA UTUMIKISHWAJ BILA MALIPO. WANAOMBA KAZI HIZO TAKE CARE.
tayari tumepeleka more than 60 candidates,wanafanya kazi,na ndugu zao wengne wanakuja kwa ajili ya kuapply hizo kazi,so ni suala la kwamba umefikaje huko nje ya nchi,ukiondoka kinyemela bila kufuata taratibu,magum lazima yatakukuta maana serikali yenyewe inakuwa haitambui upo nje ya nchi
 
Hakuna kazi inayotafuta mtu zama hizi,,, mtu ndo anatafuta kazi!… kizuri chajiuzs kibaya chajitembeza,,, kuna walakini katika hio ishu yenu
 
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
SR 1500 sawa na Tsh ngapi?
 
Back
Top Bottom