Nafasi za kazi NBS

Attachments

  • Screenshot_20170810-225253.png
    Screenshot_20170810-225253.png
    35 KB · Views: 41
Ndio maana wametegeshea coz wanajua fika watoto wao ndio waliofanikiwa kusoma hiyo coz, ili waendelee kuwabeba kwa kuwa wanavigezo, sasa ni kwa nini hiyo coz wasiilete huku mikoani kuwepo na kituo cha kutolea hayo mafunzo ili watoto wa maskini wasihangaike kwenda dar ambako gharama ya maisha ni kubwa ukizingatia mtu hana ndugu aishi wapi akiwa hapo chuoni, nikisema hizo nafasi ziko kwa watoto wao wanasema acha maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimetoka kibit nimekosa hadi nauli ya kurudi hapa napost kwa kutumia wireless ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • PhotoGrid_1502380388542.jpg
    PhotoGrid_1502380388542.jpg
    65.9 KB · Views: 48
Ukweli kuhusu hizo kazi kwa mikoani mtu yeyote mwenye sifa za msingi zilizotajwa anaweza kupata ila kwa Dar watawapa vijana wao wa Chuo cha Changanyikeni.Mkurugenzi mkuu wa NBS na VC wa Changanyikeni chuo ni mtu na mme wake hivyo wanapeana shavu.Lkn in long run watakula hela za vijana bure coz watu wengi watasoma hiyo coz ya miezi 2 halafu kazi hazitatosha.Mpaka sasa waliohitimu hiyo coz na wale wa coz za mda mrefu sio chini ya 600
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom