Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 750
- 1,318
Wanaposema maombi yatumwe kabla ya tarehe 12 maana ni Leo saa 23:59
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ni maeneo yap yatahusika
mkuu tunaomba utuwekee na maeneo yatakayo husika kufanya hizo takwimu
Upo sahihi kabisa in addition to that....kuna SAS pia ni great stat. Soft package for data analysisExcell ina kazi zake lkn haiwezi kurun data.SPSS na STATA ndo packages zinazotumika sana sana.
Tulikuwa tunawaambia mkazani tunawatania. NBS wasengerema
mkuu tunaomba utuwekee na maeneo yatakayo husika kufanya hizo takwimu
Kwan leo tarehe ngap mkuuWanaposema maombi yatumwe kabla ya tarehe 12 maana ni Leo saa 23:59
Sent using Jamii Forums mobile app
Usengerema wao ni upi?Tulikuwa tunawaambia mkazani tunawatania. NBS wasengerema
Kama leo n 12.08 hapa umeandika kitu gan?Wanaposema maombi yatumwe kabla ya tarehe 12 maana ni Leo saa 23:59
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo bestWoow rafk angu upo?

NmekumissNipo best
Nakubalia na wew tatizo hapo mwishoni tu ndio sikuungi mkonoHii kazi nilijua itakuwa majanga tu. Kwa gombania goli ya namna hii kudadadeki ni dhahiri kuna wengi watalia.
Hela yenyewe laki 3 kwa mwezi ptuh...
Wakati angekuwa Walter Reed hapo huo mshahara ni ndani ya siku 4 tu unahesabu ya laki nne kasoro. Huku na huku mzee John Hopkins akikupa mchongo huo huo ndani ya siku tano tu umekunja hela ya hao NBS ya mwezi mzima. Hapo hamna la zaidi ya unyonyaji tu.
Kazi hizo wanazo watu wa NGO bhana sio hao mafala!
Sawa mkuuNakubalia na wew tatizo hapo mwishoni tu ndio sikuungi mkono
*hao mafala*
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, nakutafta bestNmekumiss