AMANI warehouse limited
TANGAZO LA AJIRA – USAFI / HOUSEKEEPING
Mahali: Dar Es Salaam
SIFA ZA MWOMBAJI:
1. Awe na umri wa miaka 18–40
2. Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu
3. Awe na afya njema
4. Awe tayari kufanya kazi kwa zamu
5. Uzoefu wa kusafisha vyumba vya wageni (guest rooms/apartment), malls utazingatiwa
6. Awe na mawasiliano mazuri na heshima kwa wageni.
JINSI YA KUOMBA:
Waombaji wenye sifa wanatakiwa kutuma Barua, CV na Kopi ya vyeti kwa namba +255658511132 Au kwa kufika moja kwa moja ofisini, Sandvik Street karibu na AgaKhan Polyclinic, Masaki
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20/01/2026