euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,741
- 4,081
Jaribu kuomba msaidizi wa ofisi, naona elimu ni form four tu.Vyeti vya vyuo kwenye hivo vigezo sina kwahiyo ntashindwa.
Sawa boss.
Nasikia saivi wapo kazini.Hivi zile nafasi walizotangaza mwaka jana walishaita watu kwenye usaili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Apply hizi kama una vigezo.
Siku hizi ajira hizo hazipitiu utumishi?Ukiandika barua ya maombi ya kati itapitia kwa katibu itakuwa na anwani ya katibu utapeleka kwa katibu ataisaini na kugonga muhuri sasa apo safari ya kwenda kutuma posta au utapeleka direct ndo itaanzaa b aada ya kk kwa katibu
Sent using Jamii Forums mobile app
TGOS A = 240,000Hvi salary scale kwa msaidizi wa ofisi ina range kwa kiasi gani?
NGOJA NIOMBE HII,
Goodluck mkuu, ila hiyo kazi inataka moyo aiseeNGOJA NIOMBE HII,
Kwani TJs 2 ni bei gani Mkuu?
Inaanzia 770,000Kwani TJs 2 ni bei gani Mkuu?
Sasa hiyo si 2014? Ina mana hakuna revision ilishawai kufanyika?Inaanzia 770,000
Fungua link hiyo:
Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc) - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu si ndio maana watu wanalalamika hawajawahi kupanda madaraja tangu mzee baba aingie?Sasa hiyo si 2014? Ina mana hakuna revision ilishawai kufanyika?
Aah sawa sawa hapo nimekupata vizuriSasa mkuu si ndio maana watu wanalalamika hawajawahi kupanda madaraja tangu mzee baba aingie?
Ni kisanga kiongozi.Aah sawa sawa hapo nimekupata vizuri