Nafasi za kazi 33 zilizotolewa na Tume ya Utumishi ya Mahakama


Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,813
Likes
1,066
Points
280
Age
24
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,813 1,066 280
Hvi salary scale kwa msaidizi wa ofisi ina range kwa kiasi gani?
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,605
Likes
3,805
Points
280
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,605 3,805 280
Ukiandika barua ya maombi ya kati itapitia kwa katibu itakuwa na anwani ya katibu utapeleka kwa katibu ataisaini na kugonga muhuri sasa apo safari ya kwenda kutuma posta au utapeleka direct ndo itaanzaa b aada ya kk kwa katibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi ajira hizo hazipitiu utumishi?
 
W

Witmak255

Senior Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
124
Likes
71
Points
45
W

Witmak255

Senior Member
Joined Feb 5, 2019
124 71 45
Hizi taratibu zingine za kijinga Sana, unatangaza kazi kwa watanzania then unasema tupitishe maombi kwa katibu tawala huko general huwezi kumkuta DAS mwenyew akifanya hii kazi lazma utakuta Kuna wasaidizi na muhuri wa "for" watataka Chao... " Lengo Ni Nini kwani"? Kama ni uhalali wa vyeti si mlink na NECTA au uraia si mlink na RITA acheni kusumbua watu ... Why wasiwatumie direct​
 
W

Witmak255

Senior Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
124
Likes
71
Points
45
W

Witmak255

Senior Member
Joined Feb 5, 2019
124 71 45
Kwa mahakama TSH 260,000/= kabla ya makato
 

Forum statistics

Threads 1,262,348
Members 485,558
Posts 30,120,860