Zanzibar Revenue Authority wametangaza nafasi za kazi

Twaqu

Member
Jun 26, 2022
15
29
View attachment ZRA_-_TANGAZO_LA_NAFASI_ZA_KAZI (1).pdf
Nahitaji kuuliza kitu zile nafasi za kazi za TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania)wakati zimetangazwa zilifanya consideration kwa Nchi zote mbili yaani Tanzania na Zanzibar!

Sasa leo hii nimekutana na Tangazo nafasi za kazi la ZRA (Mamlaka ya Mapato Zanzibar) naona wanaohitajika ni Wazanzibari tu naomba kueleweshwa.

ZRA ya kule haitaki watu wa Tanzania ila TRA ya Tanzania ndio inakubali imeakaaje hii?
 
View attachment 2561074
Nahitaji kuuliza kitu zile nafasi za kazi za TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania)wakati zimetangazwa zilifanya consideration kwa Nchi zote mbili yaani Tanzania na Zanzibar!!!Sasa leo hii nimekutana na Tangazo nafasi za kazi la ZRA (Mamlaka ya Mapato Zanzibar) naona wanaohitajika ni Wazanzibari tu naomba kueleweshwa...ZRA ya kule haitaki watu wa Tanzania ila TRA ya Tanzania ndio inakubali imeakaaje hiii
Io kawaida tuu mkuu.. Imekaa vivohivyo😂😂😂 apply kama unakitambulisho cha mkaazi.. Na sio kazi za TRA au ZRA tuu...
 
Back
Top Bottom