Nafasi za kazi 33 zilizotolewa na Tume ya Utumishi ya Mahakama

Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,813
Likes
1,066
Points
280
Age
24
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,813 1,066 280
MImi naulizia kama na wasifu (CV) NAO TUNAAANDIKA KWA KISWAHILI AMA KWA KIINGEREZA
???????
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,605
Likes
3,805
Points
280
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,605 3,805 280
Hamna kitu Kama hicho mahakama only your salary... Labda kwa madereva wanaowaendedha majaji Wana Safari nyingi
Si wanasemaga mahakimu wanapewa rent, transport na attire/mavazi allowance?
 
W

Witmak255

Senior Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
126
Likes
71
Points
45
W

Witmak255

Senior Member
Joined Feb 5, 2019
126 71 45
Si wanasemaga mahakimu wanapewa rent, transport na attire/mavazi allowance?
Hii Ni kwa wakubwa Tena majaji na mahakimu wanaishi Kama malaika Ila sio Hawa wadogo sijui afisa ugav, TO na hao wa chini chini maisha Ni magumu mno
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,605
Likes
3,805
Points
280
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,605 3,805 280
Hii Ni kwa wakubwa Tena majaji na mahakimu wanaishi Kama malaika Ila sio Hawa wadogo sijui afisa ugav, TO na hao wa chini chini maisha Ni magumu mno
Kwani hamjapandishiwa vyeo bado? Niliskia juzi CJ anawaombea kwa Jiwe awaongezee mshahara
 
W

Witmak255

Senior Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
126
Likes
71
Points
45
W

Witmak255

Senior Member
Joined Feb 5, 2019
126 71 45
Kwani hamjapandishiwa vyeo bado? Niliskia juzi CJ anawaombea kwa Jiwe awaongezee mshahara
Taasisi zote za serikali wanakula mshahara wa mwaka2015, yani Kama sio mwizi na mla rushwa huwezi hata kumhudumia mkeo matumizi yake basic
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,605
Likes
3,805
Points
280
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,605 3,805 280
Taasisi zote za serikali wanakula mshahara wa mwaka2015, yani Kama sio mwizi na mla rushwa huwezi hata kumhudumia mkeo matumizi yake basic
Nilijua mmepandishiwa mishahara nyie watu wa mahakama....na iyo 850k ni kazi gani
 
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,813
Likes
1,066
Points
280
Age
24
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,813 1,066 280
ASEEE NIMEKWAMA HAPA KWENYE KUANDIKA CV , KWENYE KIPENGELE CHA REFEREES WAKUU MAANA SIE WENGINE HATA MASHULENI HUKO TULIKUWAGA MADOMO ZEGE HATA HATUONGEI NA WALIMU , JAPO TULIWAHESHIMU ASEEEEEE NA VIBOKO JUU KATOTO UNASEMA "ASANTE MWALIMU"
INGAWAJE KWENYE MATOKEO TULIFAULU VIZURI SANA MPAKA KUFATA VYETI WAKATUPONGEZA

ISSUE NI HII HAPA WAKUU NAHITAJI MSAADA JE HUWA WANA CONSIDER MUCH KWENYE REFEREES HASA KAMA UNAOMBA KAZI YA OFFICE ASSISTANT?

MSAADA WAKUU MIMI NATAKA KUACHA KUANDIKA REFEREES KWENYE CV,...............o_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_O:)
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
386
Likes
168
Points
60
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
386 168 60
ASEEE NIMEKWAMA HAPA KWENYE KUANDIKA CV , KWENYE KIPENGELE CHA REFEREES WAKUU MAANA SIE WENGINE HATA MASHULENI HUKO TULIKUWAGA MADOMO ZEGE HATA HATUONGEI NA WALIMU , JAPO TULIWAHESHIMU ASEEEEEE NA VIBOKO JUU KATOTO UNASEMA "ASANTE MWALIMU"
INGAWAJE KWENYE MATOKEO TULIFAULU VIZURI SANA MPAKA KUFATA VYETI WAKATUPONGEZA

ISSUE NI HII HAPA WAKUU NAHITAJI MSAADA JE HUWA WANA CONSIDER MUCH KWENYE REFEREES HASA KAMA UNAOMBA KAZI YA OFFICE ASSISTANT?

MSAADA WAKUU MIMI NATAKA KUACHA KUANDIKA REFEREES KWENYE CV,...............o_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_O:)
Referee andika hivi maombi ya barua yanaandikwa kwa lugha ipi?
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
693
Likes
367
Points
80
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
693 367 80
Hizi taratibu zingine za kijinga Sana, unatangaza kazi kwa watanzania then unasema tupitishe maombi kwa katibu tawala huko general huwezi kumkuta DAS mwenyew akifanya hii kazi lazma utakuta Kuna wasaidizi na muhuri wa "for" watataka Chao... " Lengo Ni Nini kwani"? Kama ni uhalali wa vyeti si mlink na NECTA au uraia si mlink na RITA acheni kusumbua watu ... Why wasiwatumie direct​
Hawachukui hela wala nini tena ndani ya Dk 20 ushamaliza kila kitu achana na dhana za vijiweni ebu nenda upeleke kama una sifa stahiki.
 
SHOOyaKIBABE

SHOOyaKIBABE

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,810
Likes
861
Points
280
SHOOyaKIBABE

SHOOyaKIBABE

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,810 861 280
Hawachukui hela wala nini tena ndani ya Dk 20 ushamaliza kila kitu achana na dhana za vijiweni ebu nenda upeleke kama una sifa stahiki.
Labda sio kila ofisi zinafanana mkuu, binafsi sijatoa hela yoyote. Atujuze ni wilaya ipi kuna shida hiyo labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,370
Members 485,562
Posts 30,121,407