Tume ya utumushi na kesi za utumishi

Tume ya utumushi na kesi za utumishi

mhuli1987

New Member
Joined
Feb 21, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Hivi tume ya utumishi wa umma ikishapokea kesi za kiutumishi huwa inachukua muda gani mpaka kutoa hukumu?... mwenye uelewa
 
Hivi tume ya utumishi wa umma ikishapokea kesi za kiutumishi huwa inachukua muda gani mpaka kutoa hukumu?... mwenye uelewa
Nenda kwenye Tovuti ktk Wizara husika kuna kipengele cha E-MALALAMIKO kisha uliza hili swali na kama unakumbuka tarehe ya barua ya kesi bas andikia pia watakupa majibu yhiyo kesi
 
Back
Top Bottom